Pete za pure gold kwa bei nafuu

Meqtotie

Member
Oct 2, 2015
33
29
Habari

Nadesign na kutengeneza Pete kwa mahitaji mbali mbali kama engagement, harusi, na matumizi ya kawaida. Vile vile natoa ushauri juu ya jewelry za gems mbali mbali.

Unaweza kupata Pete ya dhahabu kuanzia shs. 130,000

1459943924403.jpg
1459943946081.jpg

1459943547808.jpg


Kwa anayehitaji aje PM hata kama ni kuhitaji ushauri
Karibuni.
 
MKUU USHAURI UNGEWEKA NAMBA YAKO MAELEZO OFISI AU WORKSHOP ILIPO PIA KAMA UNA BLOG AU WEBSITE TUPATIE
AU KAMA UPO INSTA HATA POPOTE SEMA KIMTANDAO TUKUTAFUTE
 
MKUU USHAURI UNGEWEKA NAMBA YAKO MAELEZO OFISI AU WORKSHOP ILIPO PIA KAMA UNA BLOG AU WEBSITE TUPATIE
AU KAMA UPO INSTA HATA POPOTE SEMA KIMTANDAO TUKUTAFUTE
Mkuu Asante sana kwa ushauri wako.

Instagram: @hdna_be_woowed
Facebook page: HDNA
WhatsApp:+255 (0) 754 688 304

Websites bado nafanyia utaratibu wa kufungua.

Barikiwa sana kwa your insights.
 
Hongera mkuu Haya ndio maendeleo ya kuingwa.
Nakutakia kila la kheri Na ufanikiwe sana tu.
 
Mkuu Asante sana kwa ushauri wako.

Instagram: @hdna_be_woowed
Facebook page: HDNA
WhatsApp:+255 (0) 754 688 304

Websites bado nafanyia utaratibu wa kufungua.

Barikiwa sana kwa your insights.

tupo pamoja mkuu maana najua wengi ni wahitaji sana lakini namna ya kukupata ilikuwa shida thanks
 
Kashesho , workshop ipo Kigamboni , lakini goldsmithing workshop ipo mwisho Street town(posta).

Karibu sana....
Mimi naishi maeneo ya Kigamboni. workshop iko wapi nielekeze vizuri zaidi.

Ni PM unipatie namba ya simu tafadhali.
 
shilingi ngapi bei ya gram 1 nataka cheni gram 30 mkuu na pete gram 10


swissme
 
Back
Top Bottom