Pete za kichawi kuwa tajiri

Pete za kichawi kuwa tajiri

minze manonu

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
50
Reaction score
16
Kutokana na simliz ya kweli niliyoisikia kutoka kwa kijana wa kitanzania, ni kweli pete kubwa zivaliwazo na vijana wa kiume huwa zina uhusiano na mambo ya kichawi? Kwa wenye uelewa kuhusu hli naomba kujuzwa.
 
Au ndio zile tuwaonazo waheshimiwa huko kwa mkuu wa kaya wanazozivaa!
 
huyu jamaa huwa anapenda sana kubusu pete za wenzake,kabla hamjaniuliza iko wapi picha ngoja nilete kabisa
MIZENGO..JPG
IMG_3691.JPG
 
Ha ha ha ! Weka na picha yako ukiibusu pete ya mkeo siku ya harusi.
 
Pete anazozibusu hapo ni za maaskofu. Wakatoliki huzibusu hizo pete kwani zinawekwa masalia ya saints
 
Pete anazozibusu hapo ni za maaskofu. Wakatoliki huzibusu hizo pete kwani zinawekwa masalia ya saints
Mkuu

Embu nipate kuelewa kidogo, hayo masalia ya Saints kwa nini yanawekwa kwenye hizo pete.?

Kwa nini masalia na isiwe roho ya saints kwa maana hao watu washakufa.
 
Kutokana na simliz ya kweli niliyoisikia kutoka kwa kijana wa kitanzania, ni kweli pete kubwa zivaliwazo na vijana wa kiume huwa zina uhusiano na mambo ya kichawi? Kwa wenye uelewa kuhusu hli naomba kujuzwa.
Njoo uchukue ninazo.. unapenda ya dhahabu au ya silver?
 
kuna ye mgombea uraisi aliyeshindwa, anatokea chama cha kaskazini ANA BONGE LA PETE kidoleni!!
 
Back
Top Bottom