Huyo mwanamke amfai kabisa.
labda amegundua hiyo pete ni ya kichina. so anaogopa isije ikapauka haraka anapoivaa nyumbani. huku akiwa na shughuli ndogondogo hasa zile za kushika maji.
umejuaje na wewe kama hamfai?
Huyo mwanamke amfai kabisa.
watu wa humu humu mmu utawaweza wengine wanacomment bila kushirikisha halmashauri za vichwa vyao.
hahaaa itakua bidhaa ya GUANZHOU hiyo pete
sasa akiivaa 24/7 si itapayuka baada ya wiki mbili tu....
pete ya uchumba ki ukweli kabisa sio utamaduni wetu
sio dili kivile na mbaya zaidi zingine zinaunganishwa na mizimu.
kwa hiyo kwangu sawa tu ningekuwa kuna kuoa tena nisingemvalisha mtu pete hii haina maana kabisa mke wangu nimemwambia sitaki kuiona kwenye kidole chake tena. ( una mke zaidi ya miaka 10 alafu bado anavaa pete ya uchumba kwa mchumba upi na ndoa ipi anayoitegemea baada ya kwenu kwisha)
nimemwambia kaiuze anunue kiatu kuliko kuiona tena
du! teh..teh... nimekuwa mnoko!
mh! Mkuu pete miaka kumi kidoleni? Atakua ni LORD OF THE RINGS huyo!
labda hajui,ngoja rafikie amfikishie ujumbe na akamuulize ni pete ya wapi hahaa