Hongera sana,ila jitahidi usitumie gharama sana mwenye masuala hayo,utaja umia baadae kama huna uvumilivu.Wanawake hatukumbukagi gharama mlizotumia tukiolewa.(Just keep in your mind what i tell u,pleasee)
Sometimes unafanya kutokana na upendo kwake na Mungu anakubariki, mimi December nilimnunulia mama kijaaa wangu iphone xs max brand new sealed, January nikapewa 12pro max full box. Ukitoa Mungu anabariki
Labda tujiulize,hii mila/utamaduni wa kuvalishana Pete ni utamaduni wetu au tumeiga tuu?
Je Babu zetu na Bibi zetu walivalishana pete? kama hawakuvalishana iliathiri vipi ndoa yao na maisha yao kwa ujumla?
Je nini tofauti ya ndoa ya kuvalishana pete na ndoa ambayo hawakuvalishana pete kimaisha ya uhalisia ndani ya Nyumba yao?
Kuna faida yeyote au hasara yeyote kufanya hivyo au kutokufanya hivyo?