Shabdullah
Member
- Feb 17, 2020
- 65
- 52
Wanaume huwa hatuna haja na sherehe ya ndoa, ile ni kitu ya wanawake. Kikao cha mwisho cha wanaume ngazi ya taifa, tumeazimia kuanzisha mjadala wa kuhamishia gharama za harusi kwa mwanamke na familia yake. Ili mkiwa katika ndoa muwe serious sababu pesa zenu na familia zenu ndizo zimetumika. Na pia kiherehere cha kutupangia tufanye sherehe za gharama kitaisha.Hongera sana,ila jitahidi usitumie gharama sana mwenye masuala hayo,utaja umia baadae kama huna uvumilivu.Wanawake hatukumbukagi gharama mlizotumia tukiolewa.(Just keep in your mind what i tell u,pleasee)
1. Pete hii ina utofauti gani na pete nyengine kimuonekano?
2. Je, inavalishwaje, ni lazima kupiga magoti, ni lazima mbele za watu. (Inahitaji sehemu maalumu)
3. Je, nilazima nivae popote niendapo au nilipo?
4. Je, pete hii ina gharama gani (bei yake)?
5. Faida ya pete hii ni ipi? (mimi najua ni alama ya uchumba).
5. Hasara ya pete hii ni ipi?
6. Na jamii inakuonaje ukivaa pete hii.
Dah kwa hali hii kweli bado mahariPete nzuri anzia 1.2m ya Tanzanite
dah kwa hali hii kweli bado mahari
Sio kwa utandawazi huu wa sasa utakufa kwa stree tu uwaachi watu wale kwa bureMkuu onyesha kweli unampenda mvalishe cha thamani kuonesha wa thamani kwako.
sio kwa utandawazi huu wa sasa utakufa kwa stree tu uwaachi watu wale kwa bure
upendo hauko kweny materials things nikujidanganya hko
Mkuu kama unampenda mgharamie mnunulie hata iphone 12 pro max freshy tu. Kumbuka anakuja kukuzalia watoto uyo
🤔Hongera sana,ila jitahidi usitumie gharama sana mwenye masuala hayo,utaja umia baadae kama huna uvumilivu.Wanawake hatukumbukagi gharama mlizotumia tukiolewa.(Just keep in your mind what i tell u,pleasee)
Unamvisha Pete ya hela ndefu 1.2m alaf washenz wanapiga tackel zao kazaa wife anawah kukupikia na amevaa bado Pete,hapo ndo utajua hujui,mi nakumbuka nilinunua Pete ya uchumba ya elf 10000 na box ya Pete ikakamilika 15000maisha yakaenda fresh,all in all acha kutumia gharama zisizo za msingi,kama unashida sana ya Pete nenda kwa sonara nunua Pete ya 10000 tupia silver hata gram 2 inatosha mengine tukutane ukileta mrejesho wa kuomba msaada kama wanakupasulia au vp,nakusalimia kwa jina la jamuhuri.............kazi iendeleeePete nzuri anzia 1.2m ya Tanzanite
NAUNGA MKONO HOJAUnamvisha Pete ya hela ndefu 1.2m alaf washenz wanapiga tackel zao kazaa wife anawah kukupikia na amevaa bado Pete,hapo ndo utajua hujui,mi nakumbuka nilinunua Pete ya uchumba ya elf 10000 na box ya Pete ikakamilika 15000maisha yakaenda fresh,all in all acha kutumia gharama zisizo za msingi,kama unashida sana ya Pete nenda kwa sonara nunua Pete ya 10000 tupia silver hata gram 2 inatosha mengine tukutane ukileta mrejesho wa kuomba msaada kama wanakupasulia au vp,nakusalimia kwa jina la jamuhuri.............kazi iendeleee
hahaha usijidanganye watu wanagaramia na wanalea watoto wa watu piaMkuu kama unampenda mgharamie mnunulie hata iphone 12 pro max freshy tu. Kumbuka anakuja kukuzalia watoto uyo
Unamvisha Pete ya hela ndefu 1.2m alaf washenz wanapiga tackel zao kazaa wife anawah kukupikia na amevaa bado Pete,hapo ndo utajua hujui,mi nakumbuka nilinunua Pete ya uchumba ya elf 10000 na box ya Pete ikakamilika 15000maisha yakaenda fresh,all in all acha kutumia gharama zisizo za msingi,kama unashida sana ya Pete nenda kwa sonara nunua Pete ya 10000 tupia silver hata gram 2 inatosha mengine tukutane ukileta mrejesho wa kuomba msaada kama wanakupasulia au vp,nakusalimia kwa jina la jamuhuri.............kazi iendeleee