gfsonwin ,sory kama nitaumiza feelings za watu,but am also a Catholic,lakini ukweli lazima usemwe.Ni hivi,mambo mengi kama siyo yote yaliyoko kwenye ukatoliki na yanayopigiwa debe na wakatoliki yametoka kwenye upagani including pete.So watawa unaowasema is the same agenda!