I wish ningeweza demostrate kwa video, ila ngoja nijaribu!
Unganisha palms zako, vidole viendane, yaani kidole cha kati cha kushoto kigusane na cha kulia cha kati!
Vikunje vidole vya kati peke yake!
Vikiwa hivyo hivyo vimekunjwa, Jaribu kuachanisha vidole vidogo, utaweza, gumba (piece of cake), vya kupointia pia utaweza lkn huwezi achanisha vidole vya pete kama vidole vya kati vikiwa vimekunjwa. Hiyo inasymbolize kuwa marriage hazipaswi kutenganishwa na kama vile kidole cha pete usivyoweza tenganisha na kidole cha mkono wa kulia.
Source: padre mmoja wakati wa mahubiri ya ndoa!
DIDINT KNEW THIS!daaah!nimejaribuje kuvitenganisha vimegoma i see!safi sana hii!ngoja nitaitoa kwa wanangu wa ndoa manake wananidatisha kweli kuwa wanataka kuachana wakti ndo kwanza hata gauni nililowasimamia ndoa yao hata halojanibana yani ni ndoa ya mwaka jana tu!Hivi ndivyo nilijibu last time
Pia kuna hii nadharia:
*kidole Gumba = kinawakilisha wazazi wako
*Kidole kinachofuata baada ya gumba = Kinawakilisha ndugu wa tumbo moja
*Kidole cha katikati = kinakuwakilisha wewe mwenyewe (binafsi)
*Kidole cha nne = kinawakilisha mwenzi wa maisha
*Kidole kidogo cha mwisho = kinawakilisha watoto wako
Sasa jaribu kufanya hili zoezi dogo ili tuhakiki hiyo nadharia:
Kutanisha vidole vya mikono yako kama ambavyo inaonekana katika hiyo picha hapo juu.
1. Jaribu kuachanisha ncha za vidole gumba (wazazi), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wazazi wako milele
2. Jaribu zoezi hilo kwa vidole vinavyofuata (ndugu), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na nduguzo milele, kaka na dada zako watakuwa na maisha yao binafsi.
3. Jaribu kuachanisha kwa vidole vidogo vya mwisho (watoto), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wanao milele maana nao watakua na kuolewa au kuoa.
4. Mwisho, jaribu kuachanisha vidole vya PETE (mwenza), hahahah hutaweza ndugu maana hivyo vilishaandaliwa kuwa pamoja daima milele, maana yake mke na mume wataishi milele na hakuna cha kuwatenganisha. Na hii ndio sababu tunavaa pete kwenye kidole cha NNE.
"Don't hesitate to hit the like button for this clue"
I wish ningeweza demostrate kwa video, ila ngoja nijaribu!
Unganisha palms zako, vidole viendane, yaani kidole cha kati cha kushoto kigusane na cha kulia cha kati!
Vikunje vidole vya kati peke yake!
Vikiwa hivyo hivyo vimekunjwa, Jaribu kuachanisha vidole vidogo, utaweza, gumba (piece of cake), vya kupointia pia utaweza lkn huwezi achanisha vidole vya pete kama vidole vya kati vikiwa vimekunjwa. Hiyo inasymbolize kuwa marriage hazipaswi kutenganishwa na kama vile kidole cha pete usivyoweza tenganisha na kidole cha mkono wa kulia.
Source: padre mmoja wakati wa mahubiri ya ndoa!
DIDINT KNEW THIS!daaah!nimejaribuje kuvitenganisha vimegoma i see!safi sana hii!ngoja nitaitoa kwa wanangu wa ndoa manake wananidatisha kweli kuwa wanataka kuachana wakti ndo kwanza hata gauni nililowasimamia ndoa yao hata halojanibana yani ni ndoa ya mwaka jana tu!
wajukuu washakuletea?
hawajanileta bado mkuu!yani hizi ndoa siku hizi pasua kichwa kuliko maelezo!
na kweli inawezekana wananichukulia poa enh!itabidi ninze kutilia mkazo swala wa mjukuu sasa manake wanantia presha mimi kila siku kesi,binti juzi natoka kwenye send off namkuta kajaa tele chumbani kwa binti yangu analiaa hataki kurudi kwa mumewe,nikiuliza wala sipati jibu la kuleweka zaidi ya kunitaka nimpeleke kwa padri avunje ndoa ,kidgo nimwashe vibao,nilikuwa na tundovu kichwani kama vinne hiv,nikaona ngoja mr ampigie simu mumewe kuwa yupo huku!tukalala asubuhi namwuliza wala hanipi maelezo ya kueleweka imebidi tumtafute mumewe kesho kwa maelezo zaidi!Labda wanaona mama sista duh still hataki kuitwa bibi now
wape habari unasubiri mjukuu itawasaidia kuelewana
Hivi ndivyo nilijibu last time
Pia kuna hii nadharia:
*kidole Gumba = kinawakilisha wazazi wako
*Kidole kinachofuata baada ya gumba = Kinawakilisha ndugu wa tumbo moja
*Kidole cha katikati = kinakuwakilisha wewe mwenyewe (binafsi)
*Kidole cha nne = kinawakilisha mwenzi wa maisha
*Kidole kidogo cha mwisho = kinawakilisha watoto wako
Sasa jaribu kufanya hili zoezi dogo ili tuhakiki hiyo nadharia:
Kutanisha vidole vya mikono yako kama ambavyo inaonekana katika hiyo picha hapo juu.
1. Jaribu kuachanisha ncha za vidole gumba (wazazi), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wazazi wako milele
2. Jaribu zoezi hilo kwa vidole vinavyofuata (ndugu), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na nduguzo milele, kaka na dada zako watakuwa na maisha yao binafsi.
3. Jaribu kuachanisha kwa vidole vidogo vya mwisho (watoto), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wanao milele maana nao watakua na kuolewa au kuoa.
4. Mwisho, jaribu kuachanisha vidole vya PETE (mwenza), hahahah hutaweza ndugu maana hivyo vilishaandaliwa kuwa pamoja daima milele, maana yake mke na mume wataishi milele na hakuna cha kuwatenganisha. Na hii ndio sababu tunavaa pete kwenye kidole cha NNE.
"Don't hesitate to hit the like button for this clue"
na kweli inawezekana wananichukulia poa enh!itabidi ninze kutilia mkazo swala wa mjukuu sasa manake wanantia presha mimi kila siku kesi,binti juzi natoka kwenye send off namkuta kajaa tele chumbani kwa binti yangu analiaa hataki kurudi kwa mumewe,nikiuliza wala sipati jibu la kuleweka zaidi ya kunitaka nimpeleke kwa padri avunje ndoa ,kidgo nimwashe vibao,nilikuwa na tundovu kichwani kama vinne hiv,nikaona ngoja mr ampigie simu mumewe kuwa yupo huku!tukalala asubuhi namwuliza wala hanipi maelezo ya kueleweka imebidi tumtafute mumewe kesho kwa maelezo zaidi!
Hivi ndivyo nilijibu last time
Pia kuna hii nadharia:
*kidole Gumba = kinawakilisha wazazi wako
*Kidole kinachofuata baada ya gumba = Kinawakilisha ndugu wa tumbo moja
*Kidole cha katikati = kinakuwakilisha wewe mwenyewe (binafsi)
*Kidole cha nne = kinawakilisha mwenzi wa maisha
*Kidole kidogo cha mwisho = kinawakilisha watoto wako
Sasa jaribu kufanya hili zoezi dogo ili tuhakiki hiyo nadharia:
Kutanisha vidole vya mikono yako kama ambavyo inaonekana katika hiyo picha hapo juu.
1. Jaribu kuachanisha ncha za vidole gumba (wazazi), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wazazi wako milele
2. Jaribu zoezi hilo kwa vidole vinavyofuata (ndugu), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na nduguzo milele, kaka na dada zako watakuwa na maisha yao binafsi.
3. Jaribu kuachanisha kwa vidole vidogo vya mwisho (watoto), utagundua vinaachana - Maana yake hutaishi na wanao milele maana nao watakua na kuolewa au kuoa.
4. Mwisho, jaribu kuachanisha vidole vya PETE (mwenza), hahahah hutaweza ndugu maana hivyo vilishaandaliwa kuwa pamoja daima milele, maana yake mke na mume wataishi milele na hakuna cha kuwatenganisha. Na hii ndio sababu tunavaa pete kwenye kidole cha NNE.
"Don't hesitate to hit the like button for this clue"
na hiyo twisheni kijana namleta kwako The Boss kishakwa mtambuzi halafu kwa dark city halafu kwa pacha wangu Snowballna binti nampeleka kwa teacher mwalimu gfsonwin halafu mwali kishanyumba kubwa then kwa dadangu wa kingoni Fixed pointSasa inabidi mumewe apate twisheni
Au ni wale watoto wa vi memo?
hata mke atahitaji kupewa ki memo afanye nini lol
Kuna wengine watauliza ulazima wa pete ya ndoa kwanza kabla ya kidole cha kuvaliwa.
Usipovaa pete ya ndoa ndio "ndoa haitadumu?"
Na mantiki yake ni nini?