20,000? Majanga hayo.....hii inaonesha hujawahi kumgharamia zaidi ya 350,000? Mthamini mwenzio, Ukiwa kijana mfanye
afurahi, pete siyo swala la ghafla mpatie dhahabu nzuri , najua utapata nzuri mkuu at least kuanzia 100,000 hadi 1,000,000 hivi vitu havijirudiagi bana, vikipita vimepita. MAKE IT HAPPEN.
wadau nami ninashida hiyohiyo ya pete ya uchumba.
Uwezo wangu hauzidi laki na nusu. Je naweza pata pete nzuri? Na kwa dar, ni maduka gani naweza kupata?
Vp kuhusu size ya kidole, nitahakikisha vp haiwi over size ntakapoenda kununua?
ninachoona hapa wengi hawanunui pete ila wananunua madini....ila naamini kwa elfu 20 unapata pete nzuri tu....
unless unasema unataka kumtafutia pete ya madini fulani.
kuna wale wauza urembo kwenye vikapu huwa wanapita mitaani, wasubiri hao mkuu utapata ya buku nadhani. haya mambo nadhani huyawezi mweleze tu mchumba kuwa huna uwezo asubiri pete ya ndoa ambayo na kwa 70,000 hutapata.