Mostwanted boy
Senior Member
- Aug 24, 2013
- 115
- 10
- Thread starter
-
- #21
kuna wale wauza urembo kwenye vikapu huwa wanapita mitaani, wasubiri hao mkuu utapata ya buku nadhani. haya mambo nadhani huyawezi mweleze tu mchumba kuwa huna uwezo asubiri pete ya ndoa ambayo na kwa 70,000 hutapata.
yap ata za ring sawa. Ila ata za ring zinatofautiana kiwango na mvuto. Sijui utanisaidiaje?
exactly na inadepend na huyo mchumba wengine wanapenda Gold na wengne silver
Za ring ndo zikoje?yap ata za ring sawa. Ila ata za ring zinatofautiana kiwango na mvuto. Sijui utanisaidiaje?
ongeza namba wewe au unampango wa kuwavisha wangapi... kwa sababu ninyi amchelewi kuvisha hata kumi?
nataka kumvisha pete mpenzi wangu, nimeaanda 20,000/=. Je ni pete rangi gani ambazo mabinti wanazipenda zaidi? Msaada wenu wanajamvi. Asanteni!
ha ha ha! Umenifurahisha. Nataka kumvisha mmoja, tatizo mabinti hawaaminiki unamvisha pete ya lak2, ata wiki2 nyingi kashasepa. Angalau elfu70 ata akisepa nitaumia kumkosa yeye na si pesa.
wengine sijui wanataka mawe gani wawekewe.... hadi urenium wanataka siku hizi
yap 20 kaka
Za ring ndo zikoje?
Imebidi nicheke tu jamani..kwa comment za wadau..binafsi ninachokushauri mkuu usivunjike moyo! kaa nae mshauriane tena..muweke wazi kuhusu bajeti yako..