Pete sio ndoa, funga miguu yako

Maneno kuntu.
 
Tatizo la weng ni njaaaaa kal hivyo .akibana desh kuoa mbna kama unanawa
 
Ndoa kama ipo ipo tu na kama haipo hata umnyime, kwani wanaume mnajema?
Kwli ishu sio kutoa au kutotoa game..... Ndoa kama ipo ipo....maana mnaweza mkacheza game mimba ikajabndobukajua sio muoaji...ishu ni preference n test n tabia kuafikiana hasa pia maamuzi ya mwanaune kuwa naoa sasa.
 
Kuna ishu huwa sielewi, hivi ni wanaume pekee ndiyo huwa tuna nyege? Wanawake huwa hawatamani game?

Habari za kusema sikupi mpaka ndoa zimepitwa na wakati labda kama hujawahi ku do. Watu wanaoa wabeibe waliokua machangu, bar maid sembuse wewe na vi boyfriend 10 tu.
K haichakai
 
Sasa hivi kuwavisha Pete tumeacha , tunachofanya tunakwenda kwa wazazi tu wakishakujua kama mkwe unapiga mzigo bure kabisaaaa
 
Sasa hivi kuwavisha Pete tumeacha , tunachofanya tunakwenda kwa wazazi tu wakishakujua kama mkwe unapiga mzigo bure kabisaaaa
hahaha, bongemoja la teknik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…