PESA PESA PESA. Kanisani zinaitwa zaka/sadaka.Kwenye magari zinaitwa nauli. Ukitaka kumtoa mtu mahakamani zinaitwa dhamana. Ukizitoa kwa kukutwa na kosa zinaitwa rushwa/takrima. Msibani zinaitwa rambi rambi. JE UKIZITOA KWENYE MAPENZI ZITAITWAJE?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums