Mtafute KISSENDI NYANDA NTALIMA MPANDAGOYA anakuwaga na kazi nazo, kazi za KIKUSHI.Habar wakuu, ninahivi vitu nipesa za zamani zakuanzia mwaka 1916 nakuendelea anayetaka anicheki
AsantenView attachment 1792966View attachment 1792968View attachment 1792967MtafuteView attachment 1792969
me sijakuelewaHuo ni wizi km wizi mwingine wala hakuna mtu anashida nazo iyo inaitwa diabre km hujui muulize prof maji marefu ndio kazi zao izo.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nampata wapi sasa mbona hujatag jina lake
Enzi za utoto nimeshakanywa sn na wakubwa nisiokote hizi hela nitapata majipu
ndio maana bado unakusanya uuze😄😄me sijakuelewa
Umezipata wapi wew?