PESA ZA TANZANIA

Max kissey

Member
Jan 28, 2016
81
63
Habarini wakuu,Naomba kujua ni namna gani na kwa utaratibu gani tunautumia ili kuweza kuingiza Pesa ya Tanzania nchini(Tsh) na inawezwaje kuwa balanced katika mzunguko ukizingatia pesa kuchakaa,kuungua na kuharibika.
Like how does the government do to compesate that lost money.
Lasty tunalipa nini tukiwa tunataka pesa kuongezwa nchini au kubadilishwa?.
 
Back
Top Bottom