Napata shida sana Ujenzi wa miundombinu ya shule ya CCM ilihali kuna shule binafsi nyingi tu miundombinu iliharibiwa mbona hazipewa hata mfuko mmoja wa saruji.Na kinachojengwa kiko wapi mbona hatukioni? tumekuwa kama tunaishi miaka ile ya uhuru, tungesaidiwa kuelewa vizuri walau kuona kile kinachoitwa miundombinu inajengwa. Hii miundombinu iko wapi, imefikia wapi na ina ukubwa upi, tunataka kuona uthamani wa pesa inayosemwa
Ripoti ilitoka?Subiri report rasmi, acha siasa au huwa husikilizi vyombo au umeandika ukijua Kuna kundi la watu wa kukusupport, watu wapo kazini watakupa report ndio upate uhalali wa kupinga. Watu hawaulizi pesa zikowapi wengi wanahoji maamuzi ya matumizi ya pesa hizo kinyume na wanavyohisi wao ni sahihi kitu ambacho sio lazima iwe hivyo.