Pesa za fifa kwa tff.

Pesa za fifa kwa tff.

Mordina

New Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Shirikisho la mpira wa miguu duniani linategemea kutoa pesa cha kiassi dola za kimarekani millioni 100. sawa na shilling bilioni 300.13 za kitanzania . Ambazo Dhumuni kuu la fedha hizo ni kuendeleza soka la Tanzabnia kiujumla. Swali ni je fedha hizo zitatumika ipasavyo kama ilivyo kusudiwa na walengwa. Baadhi ya timu za chini za taifa stars zimekosa udhamini , Nadhani hizi fedha zina paswa kutumika zaidi katika kuekeza kwa vijana ili soka letu liwena njia kuu kutokea chini hi itasaidia kuukuza soka katika Taifa letu.
 
Back
Top Bottom