Pesa yetu thamani yake iko wapi?

Pesa yetu thamani yake iko wapi?

mamkhande

Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
45
Reaction score
19
Wapendwa ndugu zangu,ni matumain yangu kwa Uwezo wake Muumba ni wazima kama kuna wagonjwa basi Muumba atawapa tahfifu,na walipotelewa na wapendwa wao pia poleni sana yote ni kazi yake yeye Mwenyezi awape moyo wa subira na iman katika hili.

Jamani hebu naomba tujadili hili
PESA YETU YA TANZANIA THAMANI YAKE IKO WAPI?

Iwapo shirika la ndege la Precision Air Limetangaza rasmi kuhusu mabadiliko yake ya gharama kwa ticket za ndani ya Nchi kuwa katika mfumo wa USD(DOLLAR) ena kwa rate wanayotaka wao na mpaka sasa sijasikia tamko lolote kutoka sehemu husika kujadili hili wala kukumea.

Hivi tunaelekea wapi
WAHUSIKA WANALIONA HILI?
 
Back
Top Bottom