Pesa ya kijinga uliyowahi kuipiga.

Siku iyo demu kaja na smatfone yake et imezngua haipandishi data..wakat naiweka sawa simu yake nae akawa anaitumia simu yangu, kumbe kaingia YouTube anacheki video za sex..duuh licha ya kua alikua amepunguza xn saut lkn baadae stori zkaanza kupungua mara anikazie jicho mara anune

Siku iyo ndo nlipiga papuchi ya mtoto mzur kpindi icho nasubiria matokeo kdato cha 4 na yeye akiwa form 5 Kidugala seminary
 
Niliuza nyumba ya afande flani kwa millioni 15 wakati yeye alikuwa anaiuza milioni 4 alikwa na deni nmb..dah hii hela nilikula bata sana kwa maana niliipiga kizembe mno,,,demu wangu saivi ana tembelea noah ya million7,,mdogo wangu amepata sponser yupo uk anasoma alipelekwa na boss alie nunua ile nyumba maana alitokea kuwa rafk angu saaaaana kwa madai nilimfanyie bei ndogo ambayo sawa sawa na bure alinishukuru mno..adi leo ni rafk wa karibu.
Ijapokuwa yule askari mwenyd nyumba hata amfahamu..i cant forget duniani kuna watu wapo kwajili ya kuwatoa wengine kimaisha
 
Kumbe youtube kuna video za sex nlikuwa sijui mkuu.[emoji12]
 
Mlevi mmoja alizimia Gari kwenye gear D'..natoka naona jasho linamtoka ...nikazuga zuga nikaweka N' nikawasha akanipa $200..nikamuambia nakuwashia kwa muda ufike nyumbani,kesho akanitafuta nikala Laki 3..lakini nilimuelekeza procedures za kuwasha gari na alarm
 
Hapo pesa ya kijinga ni IPI? Au mm ndio sielewi!
 
Youtube hakunaga video za sex
 

Huu ndio mfano wa kuigwa na binadamu huwezi kuleta mada unajisifia wizi mm nikuone mtu wa maana.
 
Huu ndio mfano wa kuigwa na binadamu huwezi kuleta mada unajisifia wizi mm nikuone mtu wa maana.
Kwani vyote ulivyovifanya toka uzaliwe ni vya halali Mkuu? Kama ni hivyo basi wewe si binadamu wa sayari hii. Wewe ni malaika.
 
kampeni za uchaguzi wa kinondoni juzi, alipita mjumbe akikusanya data za wana ccm na namba za sim, jioni wakarusha 80,000 /- a piece kwa kila mtu,
 
Kumbe youtube kuna video za sex nlikuwa sijui mkuu.[emoji12]
Haaaahaaaa ....afadhali umenisaidia kukamata mauwongo ya humu!

Daah JF chai nyingi mnoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti X video YouTube haaa haaa!!!....YouTube hata kuonesha titi la mwanamke tu, ni kesi juu ya kesi, sembuse ngonoo!!
 
Haaaahaaaa ....afadhali umenisaidia kukamata mauwongo ya humu!

Daah JF chai nyingi mnoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti ex YouTube haaa haaa!!!....YouTube hata kuonesha titi la mwanamke tu, ni kesi juu ya kesi, sembuse ngonoo!!
Chai ya bila sukari mkuu.
 
Kwani vyote ulivyovifanya toka uzaliwe ni vya halali Mkuu? Kama ni hivyo basi wewe si binadamu wa sayari hii. Wewe ni malaika.

Hata kama nilikosea ninamuomba Mungu anisamehe na sio kujisifia
 
Kipindi flat screens zinaingia niliitwa fundi nyumba moja hvi eti tv haiwaki...bas kuichek kumbe kuna switch watoto wamebonyeza kwa chin bila kujua ikazma...bas nkalistukia tukaifungua pale, poteza mda sana...nikala 60

Mwisho wa siku zote ni dhambi hzi...na siku nkikutana na jamaa ntamuomba tu msamaha!!
 
Ngoja na Mimi nitunge mastory ka kuchangamsha maana najikutaga thread sa hivi sina kisa cha kusimulia
 
Ngoja na Mimi nitunge mastory ka kuchangamsha maana najikutaga thread sa hivi sina kisa cha kusimulia
 
Kwenye maswala ya internet, ku fanya installations Za printer, photocopy mashine nimekula hela sana za watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…