Nilinunuliwa na ccm kujiunga nao, nikakubali lakini kula yangu ilienda chadema, nilikula milioni mia mbili za bureUnajua kuna wakati mtu unaweza kuingiza pesa kijinga sana kwa mtu ambae hajui kitu fulani ambacho ni chepesi sana kwako. Kwa mfano kwangu mimi kipindi simu zinaingia kule kwetu kijijini nilikuwa nawapiga buku mbili mpaka tano kurekebisha simu ambayo imewekwa silent au vibration bila mwenye simu kujua. Je vipi upande wako, pesa gani ya kijinga umewahi kuipiga?
Tulikuwa wengi Mpaka leo hii watu bado wanapiga bingo maana bado ccm inanunua wapinzani, ni hela za dezo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hongera kwa bingo ulilolipiga
Mkuu wizi huo.Unajua kuna wakati mtu unaweza kuingiza pesa kijinga sana kwa mtu ambae hajui kitu fulani ambacho ni chepesi sana kwako. Kwa mfano kwangu mimi kipindi simu zinaingia kule kwetu kijijini nilikuwa nawapiga buku mbili mpaka tano kurekebisha simu ambayo imewekwa silent au vibration bila mwenye simu kujua. Je vipi upande wako, pesa gani ya kijinga umewahi kuipiga?
Hahah aisee wewekuna lidada lilikuja kwangu likiwa linajua Mimi daktari ,alikua na kama sio kisonono basi kaswende.akaniomba tiba.nikakagua papuchi nikaingia google.nilikula Pesa ya bure
Very gud, hizi ndio hela za bure maana hazina hata shahidi ama mkataba wa kupeana.2015 kuna mbunge mmoja wa jimbo x mkoa wa songwe kwa sasa ni rc alitupa mil.10 watu wawili ili tuzigawe kwa wanaccm wampigie kura za maoni tulikula 9.4 m, tuligaw laki sita tu tuliwanunulia ulanzi na kimpumu wazee
Ilikuwa zamani Mkuu, nilkuwa nabangaiza za matumizi shule.Lundavi jifunze mwenzangu umeona kitulano alivyopiga hela za bure sio kuwaibia na kuwadhulumu wanakijiji wenzako kwa ukosefu wa kutokujua mambo ya kiteknolojia ya kisasa, watakapoelewa watakuona wewe ni waovyo sana
Sie tunakula za wanaccm wenzetu mazuzu,eti jitu tumelichagua 2010 tokea tulichague haliji jimboni inafika karibia na uchaguzi linaunda eti kamati ya ushindi eti nimetenga mil 150 za ushindi eti hakikisheni kura zote kwangu sie tuliovaa ngozi ya kondoo kumbe mbwa mwitu mimate mwaaah,Tunamshukuru Mungu tulizitafuna.Nasikia anakuja tena kugombea 2020 aje tu watu tumalizie nyumba zetu kupauaLundavi jifunze mwenzangu umeona kitulano alivyopiga hela za bure sio kuwaibia na kuwadhulumu wanakijiji wenzako kwa ukosefu wa kutokujua mambo ya kiteknolojia ya kisasa, watakapoelewa watakuona wewe ni waovyo sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]2015 kuna mbunge mmoja wa jimbo x mkoa wa songwe kwa sasa ni rc alitupa mil.10 watu wawili ili tuzigawe kwa wanaccm wampigie kura za maoni tulikula 9.4 m, tuligaw laki sita tu tuliwanunulia ulanzi na kimpumu wazee