Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,084
- 6,087
Muulize loan office wako wa kile chuo cha kiboya sanaHabar wakuu?
samahani mi nauliza ka kuna chuo ambacho mpaka leo hii tareh 09/09.2016 hawajapata pesa ya field ile first installment yani 310K.case angu imebase zaid kufahamu kama hadi leo hiki chuo cha Tumaini au Universiry of Iringa hawajapata pesa kweli? msaada pleas.
mi nauliza tu mkuu wadau wa pale wanambie coz kuna jamaa namdai so mpaka saiv yupo kimya nataka kujua kama hela kapewa au bado mana yeye hanijibu ase.Muulize loan office wako wa kile chuo cha kiboya sana
amna mkuu mi nina shida na pesa so nataka kufahamu kama mtu ninae mdai kaingiziwa pesa au lah mana maisha magumu now afu hela imekata ase mi siwafatilii mkuu.Fanya yako ya tumaini waachie wenyewee
Hata mimi ninaye mtu wa hivyo mkuu..!amna mkuu mi nina shida na pesa so nataka kufahamu kama mtu ninae mdai kaingiziwa pesa au lah mana maisha magumu now afu hela imekata ase mi siwafatilii mkuu.
ase ni shida mkuuHata mimi ninaye mtu wa hivyo mkuu..!
Yeye anasoma KIU..!
amna mkuu mi nina shida na pesa so nataka kufahamu kama mtu ninae mdai kaingiziwa pesa au lah mana maisha magumu now afu hela imekata ase mi siwafatilii mkuu.
hivo mkuu watu tupo field afu pesa imekata coz walitupa nusu asa kuna wenzetu hawakupewa kbsa mwanzo tukawaazima sasa sjui wao mpaka saiv hawajapewa,hali imekuwa ngumu ase.vijana awamu hii tunataabika akheri kama ushagapita huku na ukafanikiwamnanikumbusha mbaaaliii
sawaamna mkuu mi nina shida na pesa so nataka kufahamu kama mtu ninae mdai kaingiziwa pesa au lah mana maisha magumu now afu hela imekata ase mi siwafatilii mkuu.
J5 hii ya wiki hii ya Eid mkuu!!!?Yapili linatema j5
Kausha baba unatuaribia biashara zetu za gestKijana kuweni wapole kwanza....sasa hivi tupo busy na operation ya kukamata wanaolala guest mida ya kazi....haiwezekan mtu saa tano asubuh yupo juu ya kiuno cha mwenzie anakatika
Wife mbona hajapata, nadhani kuna ambao bado hawajapa mpaka sasa. Sio yeye tu, hata wenzie hawajapata na hiyo first Isntallement.Tumaini university washapewa pesa mda Sana ad washamaliza