Pesa ya Chakula au Kumlipia Kodi

Kipi umsaidie mtu kati ya pesa ya chukula au Kumlipia Kodi kwa miezi 6.
Na Hili swala ndo Tunaliongea hapa kijiwe kahawa.
Alie Mbora zaidi Ni yule Anaekufubdisha Uvuvi.
Na Kutupa Nyavu Ili Usake Zamaki zako mwenyewe.
Sio Kuwa Tegemezi Kwake Kwa Samaki Kila siku.
Sio ya Kula Wala Code.
 
Mpe ya kula miez sita kodi akili itamkaa sawa akishiba atahangaika maana usiku unaingia chap lazima akili ifanye kazi, akiwa na pa kulala kula atakula kidogo atakuwa mvivu
 
Mlipie kodi kula ataosha masurufia ya mama ntilie atakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…