Habarini wanajf wakubwa na vijana,itifaki imezingatiwa
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada:
Nimeamini kwamba mtu kuwa na pesa sio:-
-kupendwa
-kuwa na furaha
-kutokuwa na msongo wa mawazo.
Niligundua hata uwe na pesa kiasi gani hapa lazima ukae tu kwenye:-
Mapenzi
Furaha
Mawazo.
Jamani vijana wenzangu tutafute pesa japo tupunguze ubahili .
View attachment 1715737