Pesa nyingi za CHADEMA huliwa kwa kisingizio cha semina

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,994
Sehemu kubwa ya pesa za ruzuku za CHADEMA hutumika kwa posho za safari na kujilipa pesa za vikao na semina na kukodi mahoteli.

Hivi kwa nini Wao kwa nini hupenda kufanyia semina na vikao vyao mahotelini?
 
Viwanja, majengo vyote wanamiliki ccm ilitakiwa tunapoingia ktk mfumo wa vyama vingi bas hivyo vyote vuludishwe kwa umma au wagawane mana wote walishirik kuviandaa ili kila mmoja tumuone akitumia akili na ruzuku yake.
 
Sehemu kubwa ya pesa za ruzuku za CHADEMA hutumika kwa posho za safari na kujilipa pesa za vikao na semina na kukodi mahoteli.

Hivi kwa nini Wao kwa nini hupenda kufanyia semina na vikao vyao mahotelini?
utachonga sana mwaka huu. na jiji ndo hilooo limekwenda kwa wenyewe
 
Sehemu kubwa ya pesa za ruzuku za CHADEMA hutumika kwa posho za safari na kujilipa pesa za vikao na semina na kukodi mahoteli.

Hivi kwa nini Wao kwa nini hupenda kufanyia semina na vikao vyao mahotelini?
Ccm wanaweza kwani wameshapata uzoefu wa kufanyia shughuli zao chini ya mibuyu
1459745945550.jpg
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, mkuu umeamua leo kuwapa sononesho jirani zetu
UNAJUA KAMANDA.. siku hizi kuna mizoga mingi tena ya kuokota tu na kufukia ujue imelewa na mchakato wa akili kubwa ya MH. MBOWE. jamaa namkubali ni kichwa sio kama yule ZOBA SILAAAA.
MBOWE ADUMU MILELE maana kakitoa chama mbali na sasa kinashikilia majiji makuu takribani manne na tunahakikisha tanga lazima itulie kwa ukawa.
sasa hii mizoga mmoja wapo ni huyu YEHODAYA. Na mwenzake TATAMADIBA Wamelewa chakali ni wa kubuluza pembeni afu unammwagia maji ya uzima basss kwishney. wakiamka wakahadithie LUMUMBA.
 
Ni ukweli mtupu ingawa lumumba team watakuja kukushambulia kama mapaka shume wanavyo shambulia misosi jikoni.kiukweli ccm wana muogopa sana mheshimiwa Mbowe kwani wamejitahidi kumchezea rafu zote lkn jamaa kawatolea nje na walifikiri wata mnawa nawa kama mrema na cheyo na Lipumba
 
UNAJUA KAMANDA.. siku hizi kuna mizoga mingi tena ya kuokota tu na kufukia ujue imelewa na mchakato wa akili kubwa ya MH. MBOWE. jamaa namkubali ni kichwa sio kama yule ZOBA SILAAAA.
MBOWE ADUMU MILELE maana kakitoa chama mbali na sasa kinashikilia majiji makuu takribani manne na tunahakikisha tanga lazima itulie kwa ukawa.
sasa hii mizoga mmoja wapo ni huyu YEHODAYA. Na mwenzake TATAMADIBA Wamelewa chakali ni wa kubuluza pembeni afu unammwagia maji ya uzima basss kwishney. wakiamka wakahadithie LUMUMBA.

Unamsahau lizaboni mkuu
 
Loh... Akili za kushikiwa hizi
 
Tuliza mshono wewe, hakuna wanachama wa CHADEMA wanaolipwa pesa wakiwa kwenye semina wewe, unafikiri yafanywayo CCM ndio hayo hufanywa CHADEMA? Mmenyimwa posho ya semina elekezi mmecharuka kuomba rushwa kama viwavi jeshi kwenye gunia la mahindi.
 
Loh... Akili za kushikiwa hizi
mbugila mwengine huyu hapa.. hahahaa.. kumbe mpo wengi!!! duh ngoja tufungue daftari..
mtakuja najua hii inawagusa sehem fulani. lazima msisimke tu.. mtafanyaje na hali ndo ishekuwa hivoo
 
Wabunge wa ccm wapatao 18 kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za rushwa
Na huu ndio uonevu wa hali ya juu kabisa ambao hawa PCCB wanafanya. Kwa nini lakini wanataka kuwaonea hao wabunge 18 na wale wanne wengine?
Idadi ya wabunge walazimishaji rushwa na wapokea rushwa kutoka ccm ni zaidi ya 150 (yaani wale sugu kabisa) sasa kwa nini wanawapeleka hao tuu? Labda uniambie zoezi linaendelea leo 18 kesho 25 halafu 32 etc etc.
Kama unataka kujua idadi kuwa ni kubwa pata uhakika toka kwa Kange Lugola.
 
mbugila mwengine huyu hapa.. hahahaa.. kumbe mpo wengi!!! duh ngoja tufungue daftari..
mtakuja najua hii inawagusa sehem fulani. lazima msisimke tu.. mtafanyaje na hali ndo ishekuwa hivoo
Sio kosa lako mkuu....

Ni kwa vile akili yako umemkabidhi Mbowe akushikie
 
Na huu ndio uonevu wa hali ya juu kabisa ambao hawa PCCB wanafanya. Kwa nini lakini wanataka kuwaonea hao wabunge 18 na wale wanne wengine?
Idadi ya wabunge walazimishaji rushwa na wapokea rushwa kutoka ccm ni zaidi ya 150 (yaani wale sugu kabisa) sasa kwa nini wanawapeleka hao tuu? Labda uniambie zoezi linaendelea leo 18 kesho 25 halafu 32 etc etc.
Kama unataka kujua idadi kuwa ni kubwa pata uhakika toka kwa Kange Lugola.
Mkuu Chakaza kama idadi ni hiyo zaidi ya 150 naona kuna umuhimu wa kutisha uchaguzi mpya maana wabunge wote wa ccm hatuta kuwa nao bungeni
 
Ruzuku ya Chama Hiyo,ni Haki yao Kuitumia Wapendavyo!Kama Unahisi Kuna Uwalakini Ofisi za C.A.G Zi Wazi Nenda Uko Upate Msaada wa Mapato na Matumizi ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom