Pesa ni nzito kuliko upendo

Mkuu kwa sasa nazidi kupenda nyuzi zako aisee
 
Wewe umewahi kumiliki hela.?

Ni shi ngapi inatakiwa ili niwe na mwanamke wa ndoto yangu
 
Ukweli ni kwamba pesa ina matumizi mengi na Wala sio kwenye mapenzi/ndoa tu.

Pesa ni hitaji muhimu kwa kila sekta hasa jamii. Mfano serikali inatumika pesa kulipa watumishi wa umma .

Matumizi ya fedha katika mapenzi sio kununua moyo wa mtu Bali ni kujipatia mahitaji muhimu kama chakula mavazi na malazi.
 
Ko unatafta pesa ili wanawake wakupende mkuu. Tafta kwaajili yako si kuridhisha watu.
Anauziwa penzi, atakuja kujiona fala akigundua kuna mnuka jasho anamtia huyo mwanamke wake free of charge
 
Usitafute sifa kwa wanawake, hawadhaminiki, dakika mbili mbele wanakulaza na viatu, hujaona Uzi mwenzio alikuwa anampa khadija million 3 na bado akarudi Tabora kwa mpenzi wake? Usiwe fala sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…