The king mswati
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 787
- 826
right, japo vyote ni muhim bt nguvu za kiume ni muhimu zaidi zikikosa hata pesa hazina thamani.Jichanganye upate kisukari...ndio utajua maana halisi ya nguvu za kiume
[emoji23][emoji23][emoji23] kivipi mkuu fafanuaJichanganye upate kisukari...ndio utajua maana halisi ya nguvu za kiume
Labda huko kwenu sisi huku bado [emoji41][emoji41][emoji41]ani... ani... ani... uandishi huu umeivuka miiko ya uanaume hivo kama utaweza edit uzi wako usionekane umekaa kike kike.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba nguvu za kiume zikikosa pesa hazina thamaniright, japo vyote ni muhim bt nguvu za kiume ni muhimu zaidi zikikosa hata pesa hazina thamani.
sio thamani tu hata wewe mwenyewe utakua huna amani, utatamani ufe mapema kabla ya mda wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba nguvu za kiume zikikosa pesa hazina thamani
By the way ukiwa huna hela kila kitu kinaanza kukutesa, mahusiano yanayumba,hakuna anaekuthamini hata ukitoa mawazo kwenye kikao cha familia wanaweza kukuona unapiga kelele tu,utakuwa na stress nyingi ukonde wakwambie una ukimwi ikimradi tu uteseke ufe kisa huna hela[emoji16][emoji16][emoji16], money is everything believe mesio thamani tu hata wewe mwenyewe utakua huna amani, utatamani ufe mapema kabla ya mda wako
right bt nguvu za kiume ni muhim zaidiBy the way ukiwa huna hela kila kitu kinaanza kukutesa, mahusiano yanayumba,hakuna anaekuthamini hata ukitoa mawazo kwenye kikao cha familia wanaweza kukuona unapiga kelele tu,utakuwa na stress nyingi ukonde wakwambie una ukimwi ikimradi tu uteseke ufe kisa huna hela[emoji16][emoji16][emoji16], money is everything believe me
Ni sawa nguvu za kiume ni muhimu zaidi kuliko pesa ingawa tumekubali kuwa nguvu hizo bila pesa hazitakuwa na thamani, lakini hivi unajua kuwa kukosa pesa kukosa pesa kunaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, unajua ni kivipi, ukiwa huna pes a inaweza kukusababishia stress/msongo wa mawazo na kama unavyojua wanasaikolojia wanakwambia kuwa stress ni moja ya chanzo kinachosababisha ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume [emoji16][emoji16][emoji16]right bt nguvu za kiume ni muhim zaidi
right, mkuu nalijua hilo na hata sijapinga bt nimesema nguvu za kiume ni muhim zaid coz wapo maskin wanaishi na kupata wenza wa type yao bt hata ukiwa na pesa alafu ukose hizo nguvu unadhani kuna raha gani maishani?Ni sawa nguvu za kiume ni muhimu zaidi kuliko pesa ingawa tumekubali kuwa nguvu hizo bila pesa hazitakuwa na thamani, lakini hivi unajua kuwa kukosa pesa kukosa pesa kunaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, unajua ni kivipi, ukiwa huna pes a inaweza kukusababishia stress/msongo wa mawazo na kama unavyojua wanasaikolojia wanakwambia kuwa stress ni moja ya chanzo kinachosababisha ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah ni kweli, mabaharia wanasemaga bora ukose pesa kuliko nguvu za kiumeright, mkuu nalijua hilo na hata sijapinga bt nimesema nguvu za kiume ni muhim zaid coz wapo maskin wanaishi na kupata wenza wa type yao bt hata ukiwa na pesa alafu ukose hizo nguvu unadhani kuna raha gani maishani?
Mkuu bado tu hujaelewa maana yake ukipata kisukari utat**mbewa sana mana mjomba atakuwa afanyi kazivzur[emoji23][emoji23][emoji23] kivipi mkuu fafanua
Duuuh....hapa sasa nimekuelewa [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu bado tu hujaelewa maana yake ukipata kisukari utat**mbewa sana mana mjomba atakuwa afanyi kazivzur
vipi una uzoefu na kisukari?Jichanganye upate kisukari...ndio utajua maana halisi ya nguvu za kiume