Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,953
Acheni pesa iitwe pesa, kuna wakati pesa inaingia mfukoni mwako huku umeishiwa nguvu ukiwaza jinsi ulivyoipata.
Hakuna kitu kilichojificha duniani na mbingini kama pesa.
Mungu mwenyewe ukimtafuta kwa bidii unamuona ila pesa kuna watu wameanza kuitafuta ujanani mpaka uzeeni hawajaiona.
Pesa hata kama unaona umeipata kwa njia halali huyo aliyekulipa au kukupa hiyo fefha kaipata kwa njia isiyo halali.
Lazima kuna mtu au kampuni imenyonywa au kuibiwa.
Asubuhi mara chache chache huwa nakuwa Gerezani Kariakoo, nauona umati unatokea Mbagala, Gongo la mboto na viunga vya Temeke. Kila mtu akiwa busy na kasi ya ajabu kuingia Kariakoo kutafuta pesa.
Nitaiheshimu pesa daima