Pesa huongeza chachu ya mapenzi

Pesa huongeza chachu ya mapenzi

the happiest man

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
253
Reaction score
218
Kunapokuwa na pesa hakuna kitu kinachoweza kushindikana katika mapenzi lakini kamwe pesa hauwezi kufanya muwe na furaha milele, ndio Maana hata mabilionaire wanaumizwa kwenye mapenzi, uzuri wa pesa kwenye mapenzi ni huu 'unauwezo wa kurudisha furaha pale mambo yanapoenda kombo, hii ni kweli kwa asilimia kubwa lakini haijadhibitishwa kitaalam...
 
mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua
 
Dah...siyo siri...mwanaume ukiwa huna pesa utanyanywasa sana....hata kwata la kimyakimya hutalienjoy....dem akitoka tu utakuwa unadhani anachezeshwa tu huko alipo... wanaume wengi wasio na pesa na wako kwenye mahusiano hufa upesi sana....ndiyo maana waislam hawatoi binti yao hadi wawe na uhakika wa matunzo ya bint yao
 
Kunapokuwa na pesa hakuna kitu kinachoweza kushindikana katika mapenzi lakini kamwe pesa hauwezi kufanya muwe na furaha milele, ndio Maana hata mabilionaire wanaumizwa kwenye mapenzi, uzuri wa pesa kwenye mapenzi ni huu 'unauwezo wa kurudisha furaha pale mambo yanapoenda kombo, hii ni kweli kwa asilimia kubwa lakini haijadhibitishwa kitaalam...

sina hiyo bahati ya kupewa hela kwenye mapenzi...aisee ..kwahiyo furaha yake na upendo wake kwangu ndo kila kitu
 
Ina nafasi yake ikitumiwa vizuri, utu uwe mbele,pesa si kila kitu
 
pesa sabuni ya roho ya watoto wakike

watoto wote wazuri wanaitaji pesa ili wazidi kupendeza hivyo kama huna pesa watoto wazuri hutawapata utawahita tu shemeji
 
Mmmh. Namuhudumia mke kwa kila kitu. Na university nimemsomesha. Ahsante yake akaninywea vidonge vya kuzuia mimba, mi najua ni Mungu hajaamua, nakazana kupiga pumbbu, kumbe.....!
 
Dah...siyo siri...mwanaume ukiwa huna pesa utanyanywasa sana....hata kwata la kimyakimya hutalienjoy....dem akitoka tu utakuwa unadhani anachezeshwa tu huko alipo... wanaume wengi wasio na pesa na wako kwenye mahusiano hufa upesi sana....ndiyo maana waislam hawatoi binti yao hadi wawe na uhakika wa matunzo ya bint yao
Ndo mkazane kusaka pesa sasa
 
Kunapokuwa na pesa hakuna kitu kinachoweza kushindikana katika mapenzi lakini kamwe pesa hauwezi kufanya muwe na furaha milele, ndio Maana hata mabilionaire wanaumizwa kwenye mapenzi, uzuri wa pesa kwenye mapenzi ni huu 'unauwezo wa kurudisha furaha pale mambo yanapoenda kombo, hii ni kweli kwa asilimia kubwa lakini haijadhibitishwa kitaalam...
Hii ipo kisayansi mkuu ,, mwanamke ni kiumbe delicate na anahitaji ulinzi mda wote na kwa Sasa ulinzi ni pesa..!
 
Mwanamke hata kama anapesa ila bado lazima mwanaume ufungue pochi. ...nilichogundua ni kwamba hawa viumbe huwa hawapendi lakini wanafundishwa jinsi ya kupenda.
 
Back
Top Bottom