HakikaBongo mtu akikuzd umri anaona sifa, unakuta mzee mzima analilia kusalimiwa, au kdg tu utaskia hawa vijana hawayajui maisha, wamejaa vitisho. kweny familia Unakuta ndugu wanakaa kbsa kikao eti baada ya kutafta njia ya kumrudsha mwenzao aliyepotea wao wanakaa kikao cha kumtenga ukiangalia wanamiliki nini? N uchawi na kashamba ka urith tena kalikojaa makaburi. Useless
kama kweli vileBongo mtu akikuzd umri anaona sifa, unakuta mzee mzima analilia kusalimiwa, au kdg tu utaskia hawa vijana hawayajui maisha, wamejaa vitisho. kweny familia Unakuta ndugu wanakaa kbsa kikao eti baada ya kutafta njia ya kumrudsha mwenzao aliyepotea wao wanakaa kikao cha kumtenga ukiangalia wanamiliki nini? N uchawi na kashamba ka urith tena kalikojaa makaburi. Useless
Naunga mkono hili.. wazazi ndio wenye kusababisha hili kwa 99%Tatizo ni wazazi..home kwetu ndugu tuna umoja hadi tunaboa...na hii inatokana na misingi imara iliyowekwa na wazee wetu kwa kaka zetu wakubwa...
Kwahio mkuu wewe pambana mwenyewe ili siku moja uwawekee msingi watoto wako wa umoja na kupendana kwenye familia.... komaa watoto wako wasiwe kama nyie....kuanzia kwa watoto wako vizazi vyako vya mbele vitakuwa vizuri