Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,517
Wakuu naomba kuuliza, ivi pesa inayolipwa as mishahara kwa watumishi ni pesa unayopatikana ki halali?, mfano labda pesa zinapatikana kupitia kodi labda tuseme kodi iliyokusanywa katika makampuni ya michezo ya kubahatisha, sasa zichukuliwe zile pesa zije zitumike labda kulipa mishahara kwa watumishi.
Hapa kwa wale wanaoamini sana kuhusu dini na maandiko, kamari imekatazwa sawa, lakini serikali zetu zimeidhinisha na wanachukua kodi na kufanya mambo mbali mbali. Swali je hawa watumishi wanaopata hizo mishahara na kufanyia mambo yao katika maisha na kwenda mbele zaidi kutoa sadaka, vipi MUNGU anapokea pesa hizo?
Swali la nyongeza kamari ni dhambi kwa mujibu wa maandiko kwasababu ni kama kubahatisha ili uweze kutajirika, lakini kwani tukiangalia maisha ya sasa iv, mbona kila kitu ni kamari/ kubahatisha, iwe kupata kazi, kuvuna mazao nakadharika.
NAWASILISHA