Pesa haitunzi mke.


Kabisa mkuu...kuna wengine akishamnunuliza mke wake Vitz ,baaasi anaona kashamaliza kila kitu......kuna mwingine alikuwa anajitamba kuwa mke wake kila siku anashika sio chini ya milioni 20 kutoka kwenye biashara zao........alikua anawatambia washkaji kua mke wake awezi kugongwa nje kwa sababu hiyo ya kushika pesa nyingi kila siku.....kumbe katika hao anaowatambia kuna mmoja anampiga mbupu balaa...na watu wanajua sema wanamkaushia kwa sababu ya majigambo yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…