Pesa haitunzi mke.

Love na hilo lialama la freemason wapi na wapi?

Love is expressed in GIVING, GIVING and more GIVING!

Sasa unabisha kaunga? Halafu wewe kila alama unaona ya freemason
" LET LOVE LEAD........":rockon:
 
Wewe beba tu Credit and Debit cards zako zote, mpaka utakaposhindwa kubeba shopping bags! LOL
Ok poa basi nitachukua na cheque book kabisa kama tahadhari.....si unajua saa nyingine system zinagomaga...nimejifunza hilo kutoka uchaguzi wa Kenya.
 
Bob Lee Swagger
umenifanya nicheke ujue!
jana na juzi ngoma yetu tuliicheza wenyewe na nyie leo zamu yenu
mtiririke hapa vipi pesa inatunza mke au vipi ni kinyuma chake!
sisis jana tulitetea degree zetu

Dah, niliona ile shughuli, nikasema na leo hapa bora niwaite ninyi wataalamu wa 'kutoa mapepo!' mje labda 'huduma' inahitajika!!
 
Anazo lakini sio kigezo cha kumridhisha mke na kumtunza

Wewe jidanganye tu kama inatoa relief kwa muda; but the fact remains, pesa ni kitu muhimu sana katika ulimwengu wa leo, iwe kwenye form yoyote ile; asset, hard au soft kama Mpesa. LOL

Pesa ndio imejenga bassilica
Pesa ndio inanunua speaker za misikitini
Pesa ndio inamfanya mjamzito ajifungue salama
Pesa inapunguza div. zero
Pesa inafanya kissing iwe tamu (kama domo halijaona colgate ni unkissable). LOL
Pesa inaongeza nguvu za kiume (asali imepanda bei)
 

Kaunga unatoka nje ya mada...... swali ni je ? pesa inatunza mke? ...... weka mtazamo kama wa digirii kwa kina mama.
 
Mi nakubalina na hilo, pesa haitunzi mke, bali pesa nikama chunvi kwenye tango. Mtu aachi kula tango hetikisa halina chuvi, huyo atakua anachekesha. Mke anatunzwa na mambo ha 1- MAPENZI YA KWELI ( kuheshimiana, kuaminiana, kuvumiliana, pia lugha nzuli inatajika ) 2- MCHEZO WA KIKUBWA unanafasi kubwa ktk kumtunza mke. Ikitokea hauna uwezo wa kutoa huduma ya faragha kwa ufanisi unao takiwa basi hatauwe na kiwanda cha kutengeneza pesa bado mke ata kushinda, . Ukishakua na vitu hivo sasa changanya na pesa hapo utakua na uwezo wa kuishi na wake hata wanne nabado utawa mudu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…