Tena mi zaidi ya kukusoma nimekuandika pia,mwanamke anatunzwa na kauli nzuri,mapenzi motomoto,handling them like babies and calling them sweet names na suprise nzurinzuri na sio pesa.Umenisoma.:rockon:
Tena mi zaidi ya kukusoma nimekuandika pia,mwanamke anatunzwa na kauli nzuri,mapenzi motomoto,handling them like babies and calling them sweet names na suprise nzurinzuri na sio pesa.
Wewe jidanganye tu
baada ya wewe ntafuatia mimi.loo::
Ntakuwa wa mwisho kuamini !!
=
Kua na pesa alafu unakisukari...au unasafiri sanaaa..uone moto wake
Hauna pesa nini?
Hauna pesa nini?
Leo napita tu sina cha kuchangia!
Let LOVE lead .......................!:rockon: