Pesa bwana! Zinasababisha mengi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Kuna jamaa alienda kwa mganga ili apewe ndumba kwa ajili ya kuwa tajiri. Akawa anafanya biashara ya kuuza ng'ombe kwa wachinjaji. Kumbe dawa aliyopewa aliambiwa awe anarusha hela njiani, yeyote atakayeokota anageuka kuwa ng'ombe.siku moja akiwa kwenye kazi yake aliwaona watu sita wanakuja mbele yake aka2pa hela na kujificha kichakani.

Wale wa2 walipookota wakageuka na huyo jamaa akaanza kuwaswaga. Kumbe kuna jamaa yao m1 aliharibikiwa breki akachepuka kidogo. Alipokuwa ananawafuata wenzake aliwaona kwa mbali kwa sabb ni flat. Ghafla hakuwaona tena na kumuona yule jamaa anaenda na ngombe sita na baiskeli zao zimepakiwa pembeni. Yule jamaa akapiga kelele watu wakajaa na kumkamata yule mfanyabiashara na kumpeleka polic.

Walipokuwa wanataja majina ya watu waliotoweka ngombe mwenye jina anastuka,aafu walikuwa hawali nyasi,wanakula ndizi,ugali,na chakula cha binadamu. Hii habari nimeipata kwa jamaa yangu anayeishi tunduma na yalitokea huko!
 
kuna kajukwaa kule chinii ka vijiambo hivi mkuu

mkuu hii ni habari ya ukweli cyo jokes! Uliza watu waliopo mbeya,kuna miezi walikuwa wanaogopa kula nyama kwa kuhofia kula watu baada ya kuwa tayari wameshalishwa.
 
jamaa alinieleza kwamba taarifa za mwisho alizokuwa nazo yule muuzaji aliambiwa atafute dawa ya kuwarudisha tena wale watu katika hali zao za kawaida.cjui kama walifanikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom