Pesa aliolipwa floyd myweather,


Ukiona mtu anaita "mtoto wa ng'ombe" badala ya "ndama", ni kutokujua sio makusudi. Ni hilo tu.
 

we unaijua thamani ya Serengeti wewe????
 
Huyu jamaa mwongo
Hela aliyolipwa haina thamani kuliko Serengeti
 
Pambano lilikuwa na thaman ya dola 250$ Millions ambapo Mayweather alipata 150$Millions na ManPac akapewa 100$ M
 
Et anapata hela nyingi kwa kazi ya dk chache, nani kakwambia, maandalizi kaanza toka utotoni akitaraji kuna siku atapigana na bingwa wa dunia, na ndio anatimiza ndoto yake leo
 

Weka tarakimu mkuu....
Usituletee msg za WhatsApp copy and paste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…