PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Mkuu una-update vipi PES? Pia hapo kwenye vram napata shida kidogo maana ninashindwa kusave data
 
Siku hizi fifa ni nyepesi kuliko pes.
ila nafurahi pes 2017 ndo game lao la mwisho jepesi likuwa na gb ndogo kama 3.4 tu kwa repark. Huku bado likiwa na graphics kali.

Ndo mana hata watu wa patch wanalipa ushirikiano sana.
 
Mkuu una-update vipi PES? Pia hapo kwenye vram napata shida kidogo maana ninashindwa kusave data
Update unadownload kusha unainistall moja kwa moja kwenye installation foder ya game lako.

Kuhusu vram ni hardware inayohusika na maswala ya ku process video na graphic kwenye pc
 
Update unadownload kusha unainistall moja kwa moja kwenye installation foder ya game lako.

Kuhusu vram ni hardware inayohusika na maswala ya ku process video na graphic kwenye pc
Napenda game za soccer japo siyo mkongwe kwenye Hili. Mimi Natumia PES 2016 na magoli yangu mengi nafunga kwa #1 kwa kutumia Ucom. Tatizo huwa napaisha na kugongesha kwenye post mipira mingi Sana. Unakuta shots 8-12 on target 2-4. je nikitaka kupiga shut la chinichini nafanyaje? Maana mashuti ya chinichini huwa nayabahatisha.
 
Me huwa natumia box then O.

Au bonyeza kidogo sana box.

Halafu download pes 2017 .ndo naona zuri zaidi.
 
Harafu unaweza badili configuration kwenye setting kama zilizopo zinakusumbua..

Kama ushacheza play station. Badili configuration zifanane kama za kwenye pc.
 
Waungwana ndio kama hv shots 17 ontarget 8 lakini vigoli v3 tu na nimetolewa by aggregate
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…