PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Mkuu hiyo FIFA19 android Offline naomba specification ya android inayoitajika, halafu mpaka uwe na PSPP au inatumia Obb kama FTS?
Ni obb mkuu.


Kuhusu android sijajua maana me sichezagi game kwenye simu.
Unaweza kucheki kwenye hiyo link itakuwa na maelezo.
 
Msahada Nina pes 2017 ni download paxh zak mikano lakini Niki apply azifanyi kazi tatiz litakua nn paxh zot ninazo
 
Msahada Nina pes 2017 ni download paxh zak mikano lakini Niki apply azifanyi kazi tatiz litakua nn paxh zot ninazo
Umegenarate CPk file na dpfilelist?


Fata process zote za tutorial video.

Au download za smokepatch haziitaji kugenarate.
 
Kwa mwenye uhitaji wa graphics card for gaming tuonane tufanye biashara

Graphics card no GTX 750 1GB ipo sana na inasukuma magame yote kama Fifa 18, 19 na mengine mengi

Bei maelewano
 
Mwenye set up za FIFA za mwaka wowote msaada plz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…