Pes & fifa pc games thread.(uzi kwa wapenda game za mpira kwenye pc)

troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
8,242
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
8,242 2,000
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.

Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.

Updates for Pes 2017

Smokepatch 17 v 17.0.0

Now available. Gb 7.77

Stadium saver 147 stadium gb 12

Pia
Smokepatch 18 v 18.0.0 for pes2018
Smokepatch 19 v 19.0.0 for pes 2019

Link.

Tutorial video


PES 2017 Multi Switcher New Season 2019 AIO
1558441107587-png.1104602PES 2017 Next Season Patch 2019 Official Update v10 Final
Fix All Patch Problems


Update: Fifa 19 nalo tamu sana nimefanikiwa kulipata mapema tu. Full cracked gb 32+
Requirement
Cpu i3 2nd gen
Ram 8 gb
Gpu 2 gb
for pc: http://oceanofgames.com/fifa-19-incl-update-4-free-download-full-6704718/ direct link
torrent: https://1337x.to/search/fifa/1/

fifa 19 android offline mb 900 FIFA 19 MOD PES 2019 Android Offline 900 MB - Micano4u | PES Patch | FIFA Patch | Games
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.pes 2017 direct link

Pro Evolution Soccer 2017 Repack-CorePack | Ova Games

MUHIMU: zima antivirus na fire wall wakati unainistall na kudownload cracked software yeyote.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
8,242
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
8,242 2,000
Sijapata muda wa kuwa na pc.

Ulidownload wapi?

Jaribu kutafuta ndani ya file ulilo extract au ndani ya game. Hakuna file linaitwa crack?
sawa nasubir nitashkuru kwa msaada wako
Mti wenye matunda.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
8,242
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
8,242 2,000
wakuu ninayo hp
i5-5200U (2.2GZ)
Ram 8
HDD 650GB
video graphics (4000HD)
naweza piga game gani la mpira latest
Graphics hapo inakuangusha mkuu.

Labda ujaribu kwa low settings kabisa.

Ila fifa 15 kurudi nyuma na pes 2017 kurudi nyuma unacheza bila shida.
 

Forum statistics

Threads 1,313,882
Members 504,678
Posts 31,807,180
Top