Mr teacher
Member
- Aug 8, 2017
- 23
- 6
Aisee natumia patche za micano 4u mkuu, Hivi patch za micano 4u hazina namna ya kuweka real trophies? na vipi kama nikiweka na hizi smokepatch ili kupata hizi real trophies?Hakikisha kwanza unatumia patch husika. Smokepatch 17 ina gb 7.7 kisha ndio unaendelea kuadd vitu vingine.
Itakulazimu ufute hizo ili uweke zingine.Aisee natumia patche za micano 4u mkuu, Hivi patch za micano 4u hazina namna ya kuweka real trophies? na vipi kama nikiweka na hizi smokepatch ili kupata hizi real trophies?
Thanks but.. Controllers settings haifix problem mkuu
Mkuu si ubadili configuration mwenyewe mbona simple tu. Unazigeuza wewe utakavyo.Thanks but.. Controllers settings haifix problem mkuu
fitgirl repack ina gb 9ulishushia wapi?
Utazoea tu. Unakwama wapi?Mimi nilikua member mzuri wa play station.
Nimeamia kwenye hizi computer game nateseka mbaya.
Sijui kukaba mpira.Utazoea tu. Unakwama wapi?
Errors nyingi.
Setting za pad kama unatumia pad hakuna tofauti na kwenye play station. Hata kama zikiwa tofauti unaweza kuziset zikawa kama za kwenye PSSijui kukaba mpira.
Pasi za adui zinanipita uso naishia kuziangalia tu.
Ninae cheza nae anadai kukaba ni X.
Naishia kuona wachezaji wangu wote hawajui kukaba kiwango F.
Wew unatumia Pad or keyboard?Setting za pad kama unatumia pad hakuna tofauti na kwenye play station. Hata kama zikiwa tofauti unaweza kuziset zikawa kama za kwenye PS
Wew unatumia Pad or keyboard?
Kwahiyo na wew huwa unakabia X peke yake?Pad mkuu.
Duu keyboard labda mission za kivita. Mpira siwezi kabisa.
Kwahiyo na wew huwa unakabia X peke yake?
Direction sawa.X+sprint.(baada ya kbadili configuration lakini na kuweka kama za PS)
Na direction, kumuelekeza mahali mpira ulipo. Pia uwe unabadilisha mkabaji kutegemeana na mchezaji gani anaweza kuufikia ambaye yupo karibu na adui mwenye mpira.
Pia sio unakaba mara zote(hii inategemeana jinsi gani umekomaa)
R1 au R2Direction sawa.
Kubadili mkabaji sawa.
Hiyo sprint ndio nn?
Hawa wanatoa mapema,September!!PES 2020 is coming September 10th 2019
Hawa wanatoa mapema,September!!
MbonaHawa wanatoa mapema,September!!
Download cracked tu mkuu key huwezi kupata bure...Msaada wa key za pro evolution soccer 2019 kwa pc