PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Hakikisha kwanza unatumia patch husika. Smokepatch 17 ina gb 7.7 kisha ndio unaendelea kuadd vitu vingine.
Aisee natumia patche za micano 4u mkuu, Hivi patch za micano 4u hazina namna ya kuweka real trophies? na vipi kama nikiweka na hizi smokepatch ili kupata hizi real trophies?
 
Aisee natumia patche za micano 4u mkuu, Hivi patch za micano 4u hazina namna ya kuweka real trophies? na vipi kama nikiweka na hizi smokepatch ili kupata hizi real trophies?
Itakulazimu ufute hizo ili uweke zingine.
 
Mimi nilikua member mzuri wa play station.
Nimeamia kwenye hizi computer game nateseka mbaya.
 
Utazoea tu. Unakwama wapi?
Errors nyingi.
Sijui kukaba mpira.
Pasi za adui zinanipita uso naishia kuziangalia tu.
Ninae cheza nae anadai kukaba ni X.
Naishia kuona wachezaji wangu wote hawajui kukaba kiwango F.
 
Sijui kukaba mpira.
Pasi za adui zinanipita uso naishia kuziangalia tu.
Ninae cheza nae anadai kukaba ni X.
Naishia kuona wachezaji wangu wote hawajui kukaba kiwango F.
Setting za pad kama unatumia pad hakuna tofauti na kwenye play station. Hata kama zikiwa tofauti unaweza kuziset zikawa kama za kwenye PS
 
X+sprint.(baada ya kbadili configuration lakini na kuweka kama za PS)

Na direction, kumuelekeza mahali mpira ulipo. Pia uwe unabadilisha mkabaji kutegemeana na mchezaji gani anaweza kuufikia ambaye yupo karibu na adui mwenye mpira.

Pia sio unakaba mara zote(hii inategemeana jinsi gani umekomaa)
Kwahiyo na wew huwa unakabia X peke yake?
 
X+sprint.(baada ya kbadili configuration lakini na kuweka kama za PS)

Na direction, kumuelekeza mahali mpira ulipo. Pia uwe unabadilisha mkabaji kutegemeana na mchezaji gani anaweza kuufikia ambaye yupo karibu na adui mwenye mpira.

Pia sio unakaba mara zote(hii inategemeana jinsi gani umekomaa)
Direction sawa.
Kubadili mkabaji sawa.
Hiyo sprint ndio nn?
 
Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom