Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,906
- 38,560
download hapa ovagames.com or oceanofgames.comMkuu ninaweza nika download wap hiyo Pes 2017 pamoja na patch zake??
aaah now days naona nao wanazingua kuanzia walivyotoa pes2018. Wanawaiga fifa viwango vinakuwa vikubwa mno kiasi wenye mashine za kawaida tunakwama.Me nasubiri mwezi wa 10 pes 19 itoke crack niidownload
Kuna patch mpya nzuri san zimetoka mwezi wa sita na saba. But ujipange gb 4+Mkuu nkajua mambo haya upo vzuri sana ndo raha yetu hii Mkuu mm nacheza 2017 tho lina patch ya 2017 na jezi bt master league inanipotezea mda....nipo 2065
Mkuu serious umependa game kwenye console kuliko kwenye pc... Dah bado hujaonja utamu wa pc mkuu.Me napenda games..na nilianzia kucheza PC games lkn nilivyoonja utamu wa FIFA 17 Kwny PLAYSTATION 4 na baadae FIFA 18 dah ni balaa..yan hamu ya kucheza games za mpira kwny PC iliisha kabisa..
naomba link ya crack pes 2018 isiyo na serial keys,maana izi serial keys zinanipa ugumuMe nasubiri mwezi wa 10 pes 19 itoke crack niidownload
vya kawaida tuu mkuu hata ukiwa na 1gb vram unacheza ata kwa medium settingaaah now days naona nao wanazingua kuanzia walivyotoa pes2018. Wanawaiga fifa viwango vinakuwa vikubwa mno kiasi wenye mashine za kawaida tunakwama.
Pro Evolution Soccer 2018 Free Downloadnaomba link ya crack pes 2018 isiyo na serial keys,maana izi serial keys zinanipa ugumu
Mkuu umewahi cheza game yyt kwenye pc yenye core i7 na gpu ya nvidia 950 + au gtx 1050 +?Me napenda games..na nilianzia kucheza PC games lkn nilivyoonja utamu wa FIFA 17 Kwny PLAYSTATION 4 na baadae FIFA 18 dah ni balaa..yan hamu ya kucheza games za mpira kwny PC iliisha kabisa..
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.
Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.
Specification za pc yako kwanzaJamani mi nacheza FIFA 18 kwenye pc sema nikiwa nacheza Lina stack stack nifanyeje
Ovagames.com. gb 3.4KAKA... NIPE SITE ulipolitoa kaka ninashida nalo hilo
Ovagames.com. gb 3.4
Utafte na patch ndo utaenjoy
pc ina viwango vinavyojitosheleza kurun hilo game?Jamani mi nacheza FIFA 18 kwenye pc sema nikiwa nacheza Lina stack stack nifanyeje