PES 2018

Life starts at 45

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
1,002
Reaction score
1,004
habarini za muda huu wana forum, nilikuwa naulizia namna ya Ku unlock coin za game LA PES 2018 kwa anayefahamu anisaidie
 
unajua kutumia cheat engine? download cheat engine kwenye pc yako kisha fungua pes lako halafu nenda unapotaka hizo coin kama ni master league au legend, angalia una coin ngapi. mfano una 8,000,000 futa zero mbili za mbele iwe 8,000,0 yaani 80,000 then ingiza hio value kwenye cheat engine search kwa kuclick new scan

ukipata result nyingi, rudi kwenye game tumia kidogo hizo coin mfano numua mchezaji hata wa 100,000 value itabadilika itakuwa 7,900,000 toa sifuri mbili mbele itabaki 79,000 ingiza tena kwenye cheat engine kisha chagua next scan utaipata value ya coin, result zitabakia chache.

right click result kisha chagua change value eka value kubwa, mfano eka 9,999,999 ili upate 999,999,900
 
PC ndo sina, kwa ambae ameshafanya hivo anitumie data zake nizitumie
 
PC ndo sina, kwa ambae ameshafanya hivo anitumie data zake nizitumie
una game la simu? huwa games za online hazichakachuliki sahau, na hata ukichakachua watakuban tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…