Personality ya Kikwete inatusaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Personality ya Kikwete inatusaidia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, May 22, 2009.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kikwete pamoja na weakness zake ni lazima tukubaliane kwamba ana personality nzuri sana, kwa namna nyingine anaonekana kama president. Ingawa kikwete hana kipaji cha akili kama Obama au Mkapa personality yake inamsaidia sana na kumuezesha kuweka urafiki na viongozi wa nje. Kuna wale tuliokuwa tunashangaa je ni kwa nini Kikwete akai nyumbani kutatua matatizo na badala yake anasafiri tu, nimepata jibu mwaka huu. Agenda ya kikwete ni kuomba misaada kwasababu amegundua hana uwezo wa mipango na uongozi lakini anakipaji cha kupendwa na kuwa na personality nzuri. Hakuna hata mradi mmoja alioanzisha kikwete hata huu wa afya ni Mkapa lakini kwa sababu Mkapa hana personality nzuri kama VP Cheney hata uwezo wake wa fikra na kipaji cha akini lakini hawapendwi. Kwa miaka hii ya media, video na picha image ya raisi inasaidia sana tunachoomba kikwete asiongee sana na badala yake aachie washauri maana anatoa pumba sana.

  US Doctors for Africa award goes to JK


  [​IMG]
  President Jakaya Kikwete

  President Jakaya Kikwete’s efforts in promoting and executing sound and practical health programmes in Tanzania on Wednesday made him become the first African Head of State to receive a US Doctors for Africa award.

  US Doctors for Africa Founder and Executive Chairman Ted Alemayhu presented the award to the President, who is on an eight-day official tour of the US, at a dinner party in Los Angeles.

  The dinner was hosted by the US Doctors for Africa and the Los Angeles World Affairs Council (LAWAC) and Alemayhu applauded the President, saying: “When President Kikwete speaks, the whole African continent listens.”

  “I accept this award with all my heart and with great respect not only for my recognition but as a sign of recognising the efforts made by Tanzanians and their leaders and our friends all over the world in extending health services,” the President said, as he received the award.

  He elaborated on the efforts made by his administration in improving health services in the country, including implementing a ten-year health development programme and significantly boosting the health budget.

  President Kikwete had earlier had an audience with American tycoon Elliot Broidy, who hinted on his intention to establish projects in Tanzania’s special economic zone.

  The President was later yesterday expected to have talks with his host, US President Barack Obama at the White House’s Oval Office in Washington, DC.

  Their talks would centre on, among other things, global challenges like the global financial crisis and instability in Africa.
   
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  akili ni nini na umewalinganishaje wote hawa?
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kwikwikwikwikwi weekend hiyooo
   
 4. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwakweli ni weekend yaani unamsifia raisi wako eti haiba yake inamsaidia kuwa Matonya wa power?? mambo mengine bwana....
   
  Last edited: May 22, 2009
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mawazo ya kinyumenyume kama haya ndiyo wanayo wananchi wengi. Mtu anayeweza kutumia computer ktk Tz anachukuliwa kuwa ame-advance kidogo mbele ya wale lundo wasioelewa lolote ...lakini ona hoja zake zilivo famba. No doubt watu kama huyu watamrejesha kwenye kiti cha ufalme mwakani ili aendeleze n'ngwe ya kuimasikinisha nchi..
   
 6. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maendeleo yapi hayo ya afya jamani? Kikwete needs to touch base with reality. Atasutwa na kina mama na watoto wanaokufa bila sababu kila kukicha tanzania hii!
   
 7. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hizo ni zaidi ya pumba.
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mimi nadhani ni MACHICHA ya kangara!!
   
 9. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Sasa miss TZ kazi yake ni ipi? Mambo ya kuwakilisha nchi kwa vigezo vya vipaji vya kutabasamu, kuonekana kwenye video/picha ziko kwenye anga za miss TZ. By the way ni analysis nzuri tu .. ila naona cons ni nyingi kuliko pros
   
 10. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Teh...teh....teh,duhh! some things will never change.
   
 11. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Urais si personality ndugu.
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Personality gani? Ya kushindwa kui-market nchi katika dakika chache za MSNBC?

  Kama alivyojisemea kibabu mchonga, kwani umesikia wanatafuta mtu wa kunywa naye chai huko?

  Usichafue maana ya neno personality, mtu anashindwa kuwatuliza wandengereko hapa Mtoni Kijichi na Mbagala ndiyo unasema anaweza kuwa na personality ya kimataifa?

  Hivi Kikwete katika watu wenye personality utamuweka? Au unachanganya ulimbwende na personality?
   
 13. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 14. I

  Ipole JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 15. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  kuna watakaosema nimemsifia raisi na wengine nimemtukana raisi lakini kwa upande wangu nimeongea ukweli.
   
 16. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Raisi hapimwi kwa sura nzuri.
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  This is fun, Huyo mkwere anapendeza kwenye luninga tu(akimaliza uraisi atangaze swahili news) else hamna kitu..
   
 18. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
   
 19. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #19
  May 23, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280

  waambiage mwayego...kibaki,.bingu na marehemu mwanawasa si walimbwende lakini kazi mtindo mmoja....

  kusema jk ni mzuri ni kututukana watanzania...hasa ukizingatia anapenda kuomba omba badala ya kufanya kazi...kweli hamtutendei haki kumuita rais wetu ...baba wa watoto mrembo[mzuri]..itabidi akienda kuomba msaada tumlinde kwa kumvalisha skin tight.....maana kama wanasema ni mzuri kuna kina balusconi ,sakozy et al ambao hawakawii kum pet wakitegemea mengineyo!!!.....naomba mseme our president has athlete figure sio mzuri ...maana siku hizi wanaume wengi wanaoitwa wazuri ni shakhula!!!
   
 20. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Wakuu wakati mwingine tuwe positive kidogo, this yaani hii habari ni a good thing kwa taifa letu sio tu kwa rais wetu, sawa ana mapungufu yake lakini akipewa zawadi international kama hizi tuwe grateful japo kidogo basi, taifa la Tanzania ni bigger than Kikwete as individual jamani!

  - Kwamba tuna-drag down taifa zima kwa sababu ya mpungufu ya huyu raia mmoja tu kati ya raia Millioni 40, pleeeeease!

  Respect.

  FMEs!

   
Loading...