Personal Opinion Policy(P.O.P) For MASCULINE ONLY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Personal Opinion Policy(P.O.P) For MASCULINE ONLY

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Roxea, Jul 21, 2012.

 1. Roxea

  Roxea Senior Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 182
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Am sorry kwanza kwa maana ya Ashukuma si matusi ila am greatly driven from inside to break it down right here; Itc like dic guys inajulikana kabisa kua tunaweza kua na hisia,mitazamo,mawazo na hata uwezo wa akili tofauti hali tukiwa wote wa jinsia moja na sidhani kama utofauti huo unaweza badili uhalisia wetu kuwa tu wanaume wenye Manhood,binafsi najivunia kuwa mwanaume maana ni jinsia ambayo popote inapewa respect si kwa ila kwa vitu wanafanya hata wa kike hulitambua hilo vema.

  NINI KIMETOKEA:

  Juzi kati kuna mtu alitupia post kua anataka girlfriend akatoa contacts zake na hakutoa standards alizohitaji toka kwa huyo girlfriend alo mtafuta. Mwingine tena ivoivo anataka girlfriend akatoa contacts hana vigezo alivyohitaji, wote hawa ni wanaume ambao ni trusted and believed that wanaweza kusimama bila kusita na kwa ujasiri mkubwa na kumfuata mwanamke yeyote anaevutiwa kwa yeye nakisha kumtongoza na mwisho wa siku kumuweka kwa Gheto,kiukweli sijaona female aloweza ku-post kua anataka boyfriend na huenda ata akitokea wanaume kama hawa wata jirahisi bila kujali kama wadada hao ndio chaguo lao la ukweli ,si pendi iyo.

  THE SADDEST PART IS;
  Ni juzi tu mdau ivi nae katupia lake eti anataka jimama lenye mihela la kumlea and he is 30years old,huyu ame ni korofisha na kunikasirika sana am sure am not alone disappointed by that creature ambae sijisikii haki kumuita MWANAUME.

  LASTLY; God(Nature) is reasonable and kind to get the man on top to help a female feel secure than ever,kumsaidia mwanamke katika comfort,reassuarance,peace of mind na sio kua mdhaifu mbele ya female na kumfanya ashikilie kuishi kwako.

  Lets be Men who are men, pleaseeeeeeee!

  Hio ndo POP yangu kwa leo wadau,hoja zenu zinahitajika.

  Karibuni.
   
 2. Roxea

  Roxea Senior Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 182
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Poleni kwa usumbufu uliokuwa umejitokeza, naomba mjararibu tena kusoma nipate michango yenu, nadhani sasa inaeleweka.
   
 3. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  gd lck
   
Loading...