Personal computer (PC)

Personal computer (PC)

TheGodfather95

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,763
Reaction score
1,835
Nauza PC aina ya dell
Processor - 1.60 GHz
Installed Memory (RAM)- 4.00GB
hard disk - 450
Processor - 1.60 GHz
Installed Memory (RAM)- 4.00GB

Kitu kimenyooka kama uongozi wa JPM
IMG-20170729-WA0011.jpg
IMG-20170729-WA0007.jpg
IMG-20170729-WA0008.jpg
IMG-20170729-WA0010.jpg

BEI: 450k only (fixed price)

NB:jamani naomba tusiharibiane biashara na mtoto mdogo inabidi ale akue vizuri.
Ukija ukasema nauza vitu copy unaniharibia biashara yangu tuwe waungwana.
 
Samahani lakini, siharibu uzi au biashara yako kiongozi. Neno limenikaba nataka tu nilitoe hapa. Hiyo PC tunaiita Dell Kipele
 
Ina matatizo yoyote??
Kati ya Pc nilishawahi kuitumia ikadumu ni aina hii. Hadi leo ninazo mbili, moja ina miaka minne (4) sasa, inapeta tu. Tatizo la hizi device hutakiwi kabisa uihifadhi karibi na unyevu, ni adui mkubwa sana. PC hizi (kwa uzoefu nilioupata baada ya kuzitumia sana) huwa zinazima ghafla na kukataa kuwaka kabisa kama umeiabuse kwa kuihifadhi penye unyevu. Hata hivyo service yake ni simple sana, fupi na haina gharama sana.
kwa kifupi napenda sana hizi PC ndo maana nimefurahi baada ya kuona picha zake. Kiongozi ningekuwa sina lazima ningeichukua hiyo
 
Pamoja kaka ufafanuzi mzuri sana ningeshangaa ungesema vinginevyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom