Habari zenu wakuu
Kuna mtu mwenye uzoefu na kazi za kua msaidizi wa mchina kwenye haya makampuni ya ujenzi? Yani personal assistant wake wakiwa site.
Ningependa kujua wanalipaje kiwango cha chini pia condition ya kazi inakuaje yani politeness ya maboss wa kichina but malipo ndo muhimu ziada
Nahitaji kufanya uchunguzi huu kabla sijafanya maamuzi ya kufanya iyo kazi kwa sababu anaetaka kuniunganisha na yeye hajaambiwa ukweli kuhusu malipo
Shukrani