Yaani umejuaje, napenda perfumes zenu, nyingi zimetulia sana. Mr nae analalamika akinunua au nikimnunulia mie kutwa kuzipulizia zake nammalizia halafu yeye hawezi hata kujaribu za kwangu. do you like to try out different perfumes au kuwa na identity? Nina collection nyingi. !!
Belinda Jacob, that mens you think like men, not 'feel' like women!. Mr akipenda za kike, ingekuwa balaa!. Ila pia usishangae, wako mijiaume sio tuu inatumia perfums za kike, mpaka inavaa ...za kike!.
Yes I would like to try as many as I can, kwa kawaida huwa nafanya shopping yangu ya perfums kwenye inflight magazine au duty free shops en route. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia CK One, hiyo ndiyo always ninayo, safari fulani niliijaribu PACO nikaipenda, kila nikiiulizia sijawahi tena kuikuta popote mpaka niliposafiri tena, ndipo nikajua kuna baadhi ya perfums wanatengeza za kuuza duty free shops za inflights ya baadhi tuu ya mashirika ya ndege. Pia ninaipenda Farheight. Kwa kawaida hununua baadhi na kujikuta nimeishia kuzigawa kwa my boys. Binti yangu nae anafuata tabia ya mama yake, kupenda men's fragances.
Kwa Dar, Rosana anajitahidi sana, na baadhi tuu ya maduka, yapo maduka ya heshima na heshima zake, wanauza counterfeit hadi Mlimani City!. Ukienda super markets nyingi nying siku hizi unazikuta Essay Miyake, Kouros, Dior, Calvin Clein, Armani etc za kumwaga kiukweli, hakuna kitu!.
Yuko dada mmoja wa UK anaduka lake Mbezi Beach, yeye pia anajitahidi kuleta few genuine from UK na ma famba kibao!. The good thing about yeye, nyingi ya zile famba zimeandikwa kabisa ni "tester" hivyo concentration yake ni a bit low, nimenunua machupa yangu makubwa mawili ya CK One, 200mils kwa 200,000 each!. Bei zake ni reasonable ila most of them ni "opened items" lakini genuine!. Big names zozote ukitaka anakuletea by order.
Pia kuna Mhe. Mbunge mmoja mdada, ana kiduka chake pale bakery ya Mlalakuwa, yeye ananunua kwenye ndege, hivyo halipi duty tena anapitia VIP, ila bei ana kamua!, kale ka CK One kadogo, nadhani 25 mls amenipiga kwa 180,000!. I had to take it tuu kwa sababu kako handy kanakaa kwenye gari!.
Kwa vile wewe uko huko, nifanyie collection mimi nitarekebisha, hawa wafanya biashara wanatuchinja sana, kutonyonga mpaka kutaka kutuua!.
P.