Performance ya Macbook M chip

Performance ya Macbook M chip

Promenthous

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
357
Reaction score
443
Habari wataalamu.....kwa wanaotumia macbook naomba kufahamu performance yake ikoje;
•Macbook M1 vs Macbook Intel
•Macbook M1 Pro vs Macbook M1 Air
•Macbook M1/M2 vs Dell XPS 13/15

Asante;
 
Macbook yenye M1 ina perfomance kubwa kuliko Macbook yoyote ya Intel
•Macbook M1 Pro vs Macbook M1 Air
Kama mfuko upo vizuri pro ni nzuri zaidi ina feni itakusaidia ukifanya vitu serious
•Macbook M1/M2 vs Dell XPS 13/15
M2 japo ni mpya ila so far hakuna improvement sana na ina overheat ukifanya kitu serious.

Vs Xps angalia ni xps ipi Cpu ambazo ni nzuri compare na M1 ni intel 12th gen Alderlake na Ryzen 6000 series.

Alderlake ni much better perfomance wise ila ukaaji Chaji haifikii ryzen 6000 na M1, Ryzen 6000 ni complete package utapata perfomance nzuri cpu, Graphics ya maana inakuja na Rdna2 na ukaaji chaji mzuri.

Mwisho wa siku angalia matumizi yako, kama yanabase kwenye Mac sana go with M1 kama yanabase kwenye Windows sana Ryzen 7 6800U ama Aldarlake with dedicated gpu.
 
Cy, Kama utakuja kufanya investment kubwa kwenye maisha basi ni kumiliki M1 Chip Macbook or any Macbook pro starting from 2015.
Though they are not well equipped with Graphics Card for Gaming but they are the Only Top Machines for Programming,Slightly Graphics Design,Video Editing,Research,Cyber Security. And More alike.

Cons:
They are so Expensive but their price always worth it.
 
Nina macbook Air 2015 hv hii naweza play games kwa uhuru kweli Chief-Mkwawa
 
Sawa mkuu maana mimi ni mpenzi wa action games kama call of duty
Call of duty za zamani zinacheza bila wasiwasi.

Njia rahisi ya kupata games zinazocheza kwenye hio machine ni kuangalia tarehe ambayo game limetoka, games za 2014 kushuka most of time zitacheza sababu hio ilitoka 2015 mwanzoni.
 
Macbook yenye M1 ina perfomance kubwa kuliko Macbook yoyote ya Intel

Kama mfuko upo vizuri pro ni nzuri zaidi ina feni itakusaidia ukifanya vitu serious

M2 japo ni mpya ila so far hakuna improvement sana na ina overheat ukifanya kitu serious.

Vs Xps angalia ni xps ipi Cpu ambazo ni nzuri compare na M1 ni intel 12th gen Alderlake na Ryzen 6000 series.

Alderlake ni much better perfomance wise ila ukaaji Chaji haifikii ryzen 6000 na M1, Ryzen 6000 ni complete package utapata perfomance nzuri cpu, Graphics ya maana inakuja na Rdna2 na ukaaji chaji mzuri.

Mwisho wa siku angalia matumizi yako, kama yanabase kwenye Mac sana go with M1 kama yanabase kwenye Windows sana Ryzen 7 6800U ama Aldarlake with dedicated gpu.
Asante sana chief kwa ufafanuzi,nadhani M1 Pro itanifaa zaidi kwa matumizi hasa data analysis, ingawa naona bei yake imesimama kiasi ukilinganisha na M1 Air,bado sijajua kwa Dell XPS yenye Ryzen bei inakwendaje.
 
Mkuu nimecheki xps bado hawaja update ryzen 6000

Software gani inatumika?
 
Cy, Kama utakuja kufanya investment kubwa kwenye maisha basi ni kumiliki M1 Chip Macbook or any Macbook pro starting from 2015.
Though they are not well equipped with Graphics Card for Gaming but they are the Only Top Machines for Programming,Slightly Graphics Design,Video Editing,Research,Cyber Security. And More alike.

Cons:
They are so Expensive but their price always worth it.
Thanks for your recommendation [emoji106]
 
Sorry For you.
Macbooks are not good in Video Games Propagation.

Also In Macbooks Clan the Macbook Air are low in performance Compared to Macbook Pro.

Looking for a Gaming Laptop
ALIENWARE
HP OMEN
I’ll take it into consideration
 
Cy, Kama utakuja kufanya investment kubwa kwenye maisha basi ni kumiliki M1 Chip Macbook or any Macbook pro starting from 2015.
Though they are not well equipped with Graphics Card for Gaming but they are the Only Top Machines for Programming,Slightly Graphics Design,Video Editing,Research,Cyber Security. And More alike.

Cons:
They are so Expensive but their price always worth it.
MacBook air m1 yenye 8/512 je nayo ni better zaidi? Hasa kwa graphics design na software development
 
Back
Top Bottom