Kuna jamaa alipost humu amemaliza law Tumaini na ana First class! si huyo tu, nina marafiki zangu wengi tu nao wamemaliza Tumaini wanadai wana ma-first class kibao!!!
Wakati kwa historia niliyonayo, kwa UD tu tangu chuo kianze kuoffer LLB, kama sikosei kuna first class tatu tu za law!
I am also a lawyer, nimemaliza Mzumbe, hadi upewe first class ni issue, watu tumeishia Second upper division na Second lower division...
Cha kushangaza ni kwamba in the course of employment huyu mwenye first class anakua na utendaji mbovu sana tofauti na yule mwenye labda second upper division
Sasa nauliza, kipi bora cha kuzingatia kabla ya kuajiriwa? je ni sifa za ufaulu (proper qualifications) au utendaji wenye ufanisi (perfomance)?
Naomba kuwasilisha...