Perfect Timing Photos

Aisee, huyo jamaa na reflection ya kimini kanivunja mbavu, kisha mwenyewe hata habari hana maskini! LOL!!
 
Hiyo ya kupasua puto lenye maji ndo the best perfect timing.

Hiyo kamera alirekodi ndo anaicapture hiyo event.
 
Hiyo ya kupasua puto lenye maji ndo the best perfect timing.

Hiyo kamera alirekodi ndo anaicapture hiyo event.

Hapo sawa, na hii jee ambapo paka jike na dume wamepozi na mikia kutengeneza umbo la moyo (love)!!! Nayo je siyo good timing??

 

na photographers wa aina hii ndiyo hupiga hela sana huko kwa wenzetu kwani wenzetu huko ng'ambo wanapenda sana picha za actions namna hiyo na nadhani hata hapa kwetu tanzania sasa tunao wapiga picha mahiri wa aina kama ya hao wa huko ng'ambo mfano mimi binafsi katika picha za kisiasa na masuala mengine ya kijamii huwa nazikubali mno picha za muhidin issa michuzi na katika michezo wapo wapiga picha wengi ila binafsi picha zinazopigwa na salehe ally huwa zina actions nzuri sana.
 
Pichaduka Imetufanya Tusiamini Kila Tunachokiona
 

Upigaji na uuzaji wa picha ni biashara kubwa sana. Wengine wanasema ni soko la bilioni $100 na zaidi. (photographyblog.com)

Ndiyo maana utakuta mapaparazi wanawafuata celebrities kila siku nchi za nje. Wakipata picha moja nzuri, anakula pesa nzuri sana.

Wapiga picha wa Fashion Magazine kama Annie Leibovitz wa Marekani ni milionea, tena wa siku nyingi sana.

Karibu kila gazeti la kimataifa wananunua picha kila siku kwa wapigapicha binafsi au wanaofanya kazi katika mashirika.

Mimi huwa napenda picha za The National Grographic, The Economist na za American Photo.

Huku nje, unaweza kwenda Chuo Kikuu kujifunza Photography.
 

Mkuu, kuna mpiga picha maarufu wa Tanzania, kazi yake inajulikana sana nje. Anaitwa John Kiyaya. Ameandika kitabu na kupokea tuzo nyingi za upigaji picha.

John Kiyaya was born 1970 in Kasanga village, Sumbawanga, Tanzania.

His story in pursuit of his passion as a photographer known only to his subjects, the workers, fishermen and peasants of this region of Tanzania along Lake Tanganyika, brought him acclaim from international photography circles, first in Europe and then to U.S.A. He was selected at the Photographic Research Centre Boston University, top winner of the prestigious Leopold Godowsky Jr. Colour Photography Award, competing with photographers from Egypt, Ghana, Kenya, Madagascar, Mali, Mozambique, Namibia, Nigeria, Senegal, Tanzania and Zimbabwe.




pernille.typepad.com
 

akhsante mkuu kwa kuzidi kunipa maarifa na hakika wewe ni muelimishaji mzuri sana ambaye unaweza ukamfanya mtu apende kitu fulani. heko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…