Huu ni unyonyaji wa mchana kweupe. Kwa kazi gani watumishi wa uma wanayoifanya hadi walipane hayo mapesa mengi namna hiyo? Halafu bado mnaimba nchi ni maskini wakati kuna hili kundi la wanaotuibia pesa zetu
pesa ya kujikimu ukiwa nje ya kituo cha kaziPer diem ndiyo nini? Wengine tumejiajiri
Tcra mko wapi jamaniWilayani 200,000 na manispaa na majij 500,000.
Huu ni unyonyaji wa mchana kweupe. Kwa kazi gani watumishi wa uma wanayoifanya hadi walipane hayo mapesa mengi namna hiyo? Halafu bado mnaimba nchi ni maskini wakati kuna hili kundi la wanaotuibia pesa zetu
Kwa mfano tanroads salary scale 4.1-6.1 wilayani 80,000/= Manispaa na jiji 100,000
perdiem maana yake kwa uelewa wangu ni kama posho apart from ur salary,wale wazee wa reseach wanafahamu
hiyo mishahara mbona midogo? mnawezaje kumudu kweli
Bavicha mna vituko sana.
muuliza shwari tunamshauri awasiliane na wizara ya utumishi wa umma,watampa waraka huo,sisi hatuna mamlaka ya kukupa na kuutoa hadharani kwani umeandikwa "SIRI" na hauruhusiwi kuutoa katia media yoyote
Habari zenu waungwana.
Naomba kufahamishwa viwango vya PERDIEM kwa wafanyakazi wa Serikali kwa mwaka 2014/2015 au 2015/2016.
Natanguliza shukrani zangu.
Naomba mawasiliano mkuu wako tumfikishe kortini hiyo scale ameitoa wapi
Stuna haya Mamichongo ya serikalini haya tuachie,ndio maana tunataka mabadiliko.Vipi biashara nadu.duliza Perdiem nije unipi mchongo....sriazhiyo 80,000 inamtosha mtu kweli? labda kama ni kwa siku
Per diem ndiyo nini? Wengine tumejiajiri