Habari zenu waungwana.
Naomba kufahamishwa viwango vya PERDIEM kwa wafanyakazi wa Serikali kwa mwaka 2014/2015 au 2015/2016.
Natanguliza shukrani zangu.
Sorry, taarifa haikukamilika.
Lakini nilikusidia kwa kada ya Afya kwa ngazi za Certificate, Diploma, Degree etc (i.e: TGHS A1, B1, C1, D1 etc), kwa kuzingatia Wilayani, Jijini n.k.
Huu ni unyonyaji wa mchana kweupe. Kwa kazi gani watumishi wa uma wanayoifanya hadi walipane hayo mapesa mengi namna hiyo? Halafu bado mnaimba nchi ni maskini wakati kuna hili kundi la wanaotuibia pesa zetu